Ili kuwanusuru wakulima wa tumbaku na hasara wanayoweza kuipata ya kukosa soko, serikali imeanzisha majadiliano na nchi nne za India, Misri, China na Iran ambazo zimeonyesha nia ya kununua shehena...
Kama uzi unavyojieleza liwe fundisho Kwa wengine.. Najua vijana Kwa Sasa wapo makini Kwa kuanzisha miradi mbali mbali.. Mimi 1 wapo nilianza na mradi wa kuku 10. Matetea tupu nikawapiga chanjo na...
Natumaini wazima wa afya, Nilikuwa mkimya kitambo kidogo nilikuwa shambani kwenye field baada ya kusoma maandiko mengi na sasa nategemea kuvuna matikiti tarehe 5 mwezi wa Tisa.
Tafadhali kama kuna...
APPLY NOW to the LEAD Project Investment Fund
Are you an entrepreneur?
Are you looking to expand your business?
Poultry feed processor, hatchery, poultry meat processor, maize seed...
Habari wana JF.
Naomba wale walio na uzoefu wa kilimo cha Miti wanifungue macho kidogo. Nina heka kadhaa za ardhi katika ukanda wa Pwani ambapo nilijaribu kulima mazao ya kawaida (Nafaka) mwaka...
Habari wadau,
Niko na kamtaji kangu nataka nilime Tangawizi pale Same nimepata fununu kuwa pale ndo msimu wake huu. Naombeni mwenye utambuzi kdogo anisaidie.
1. Gharama ya kukodi shamba Ekari...
Kuna njia tofauti za kuanza au kuongeza mtaji kwa mfugaji wa kuku kama vile, kununua kuku wakubwa, vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine au kuzalisha vifaranga wako wewe mwenyewe.
Kupunguza...
NJOMBE FOREST PLANTATION
PANDA MITI YA MBAO UNUFAIKE.
Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya...
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula.
Chanzo ITV, 05/09/2017
My take: Hii ni fursa...
Habari za majukumu wadau, nachukua nafasi ya kuandika uzi huu kwasabau ya utayari na nia ya kutaka kujua zaidi na kuwa na mchanganuo sahihi juu ya mpango wangu wa kuamua kuingia jumla katika...
MITAJI, MITAJI, MITAJI
WAJASIRIA MALI HABARI?
Moja ya changamoto kubwa inayo kabili wajasiriamali wengi ni mitaji na kama mnavyo jua Benki sio lafiki wa wakulima, yaani ni rafiki kwenye...
NI LINI UNAPASWA KUONDOA KUKU WAKO WOTE BANDANI NA KUWEKA WAPYA?
Wafugaji wengi huwa tunafuga ila kitu kimoja ambacho hatukizingatii ni mahesabu,
Ni wafugaji wachache sana wanao zingatia mahesabu...
Naanza kwa kusema kuwa nchi hii tuna uhaba mkubwa wa wataalamu wa kilimo , na hata wataalamu waliopo hasa vijijini hawazipendi kazi zao na sio wafanyaji wa kazi kitaalamu bado wanafanya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.