Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4 UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika...
12 Reactions
38 Replies
61K Views
Jamani wanajamiii ninavifaranga vya kuku wa kienyeji. Navifuga huu ni mwezi wapili tokea vitotolewe lakini sasa kunaugonjwa umejitokeza ndugu zanguni ugonjwa huu umewafanya wanakua kama wamekunywa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nina changamoto ya jinsi ya kupima mbolea ili niweze kuhakikisha ubora wake ie kujua kama imeharibika au la. Nahitaji kupima mbolea ya NPK na UREA. Msaada please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wafugaji wenzangu natumai nyote ni wazima. Kama mada inavyojieleza hapo juu,nia hasa nikupeana ushauri juu ya ufugaji wetu wa kuku,na kuambizana jinsi gani ya kupambana na maradhi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale wafugaji wa kuku.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WAHI OFA YAKO KABLA HAIJAISHA Habari wana kikundi, sisi tunaitwa Tawa Water Proffesional ni wachimbaji wa visima vya maji iwe kwa ajili ya umwagiliaji mashambani au kwa matumizi ya kawaida...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wajasiriamali, Mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai (Layers) . Kuku wangu wana mwaka na miezi miwili. Nataka mpaka sasa wanataga asilimia 80% tu. Nina mpango wa kuwaondoa kuku...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Vitu muhim vya kuzingatia kabla hujanunua vifaranga vya kuku 1)nunua vifaranga kutoka chanzo kinacho aminika. Kununua vifaranga holela mitaani ni hatari sana wengi unakuta wameambukizwa magonjwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo...
4 Reactions
138 Replies
34K Views
Jamani nina majunia 50 ya dengu naomba kujua soko linakopatikana na bei yake ya jumla, Huo mzigo uko Mkoa wa Mara kwa hiyo kama unaupdate zozote nijjlishe
1 Reactions
5 Replies
5K Views
  • Closed
KIONGOZI SORRY KWA KUDELAY KUKUJIBU. HIKI KITUNGUU SAUMU...SINA TAARIFA NACHO NASKIA TU MTAANI WANASEMA KINALIPA, BEI NZURI ETC?/.. LAKINI WAPO WANAOSEMA NI KILIMO CHA KUCHOSHA SANA MAANA HASA...
0 Reactions
736 Replies
376K Views
MiMI nIpo Ndanda hapa hivi sasa Hakuna jipya kuhusu malipo ya korosho ya mnada wa kwanza 2017/2018, wewe uko kijijini gani wilayani Masasi na nini kinaendelea au viongozi wanasemaje kuhusu hilo?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Na Dr Khalfan, Farmas cntre Ugonjwa huu hutokea mara kwa mara kwa kuku wa umri wowote. Ugonjwa huu husababisha vifo vingi ukiingia(flock motality) na vifo hivi hufikia hadi 100% ya kuku ulio nao ...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Dr Khalfan, Farmas cntre Ugonjwa huu hutokea mara kwa mara kwa kuku wa umri wowote. Ugonjwa huu husababisha vifo vingi ukiingia(flock motality) na vifo hivi hufikia hadi 100% ya kuku ulio nao ...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Na Dr Khalfan 0752367114 Ugonjwa huu hutokea kwenye kuku wenye umri wowote. Dalili 1)kuhara damu au kinyesi chenye rangi ya ugoro. 2)manyoya kutimka 3)kuku kuinamisha vichwa chini 4)vifo kwa kuku...
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari wadau! Amani kwenu. Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya na mwaka huu Nina kama ekari moja na nusu nililima nyanya tu sasa zimekubali vizur tatizo hakuna wateja. Naulizia njia nzuri ya kusindika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf,nimekua msomaji wa mada mbalimbali hapa jukwaani na nimenufaika kwa kiwango kikubwa.kupitia elimu nilioipata jf nilianzisha mradi wa kufuga samaki bwawani.nina bwawa la sment ambalo...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Nimekwenda kwa shamba langu Leo jioni kutazama maendeleo ya zao langu niliyo yakuta ni hao viwavi, dawa gani nitumie? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Shamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita. Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza...
6 Reactions
91 Replies
19K Views
Back
Top Bottom