Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba ndugu zangu watafiti wa kilimo wanisaidie hawa wadudu nawamwagilia dawa gani maana wanatafuna huu muembe kwa kasi ya standard gauge Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Ni ukweli usiopingika wafugaji walio wengi wanagawana faida na maduka ya vyakula vya mifugo..Nataka kutoa changamoto zilizokuwa zinanikabili kwenye chakula cha mifugo yangu na...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza vitunguu kwa jumla DAR AU MORO naomba aniPM tutete jambo. thank you.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Poleni na mizunguko ya kila siku, mimi ni mwanafunzi wa chuo... Nmeamua kulima mpunga, sababu napenda kuinvest katika kilimo,, ila bado nakosa hints za kutosha kwa kilimo Cha mpunga, KWA CHOCHOTE...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu naomba msaada wenu nina kuku wangu aina ya kuchi anaumwa anasinzia na kuharisha kinyesi kama cheupe ni dawa gani inaweza kumtibu kuku wangu naomba msaada Maana nilimnunua bei kubwa sana...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
yoyote mwenye ufahamu mzuri kuhusu soko la kuku wa kienyeji lenye tija Nahitaji kufahamu bei ya kuku ya sasa mtetea na jogoo? pia sehemu nayoweza pata soko la kuku hawa? ##Giftedhand.. email...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hi jf hili ni tatizo gani Leo siku ya 15 kashakula mayai 3 anayoatamia je nifanyaje?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa kilivyoonyesha nimekuta mwembe wangu umevamiwa na wadudu ambao siwajui naomba wahusika wa kilimo mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi serikali inapotaka kuchukua eneo na kunamazao ya kudumu, je kwa zao kama katani unalipwa sh ngapi kwa shina? Je mazao mengine kama embe, miti ya mbao, korosho,chungwa etc. Naomba wazoefu...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Ni wapi ntapata dhania seeds tanzania
0 Reactions
19 Replies
2K Views
UTUMIAJI WA SHUBIRI MWITU KWA KUKU zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira yetu ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya Kuku katika page hii tutajifunza baadhi ya hayo...
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Kwanza Tambua kwamba F1 au First generation hutoka kwenye Parents stock pekee. Parents stock ndo huzaa F1.na parents stock huagizwa nje na parents stock hutoka kwenye Grand Parents. Grands...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
205 Replies
39K Views
Wengi tunakuwa na malengo mazuri ya kimaendeleo hasa ya kulima mazao fulani, lakini tunakwamishwa na shughuli mbadala ambazo nyingi ya hizo ni zile za ofisini..kwa kuona hilo CHALAJI COMPANY...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo, Natafuta formula za chakula cha kuku aina zote. Mwenye kufahamu anisaidie. Namba 0654000253
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana Jf.... CHAKULA CHA KUKU MALIGHAFI 1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25 2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10. 3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5 4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5 5.DAGAA KILO 5 6. CHOKAA KILO 1...
5 Reactions
23 Replies
18K Views
Habarini Wakuu, Tafadhali naomba mtaalamu anayejua namna ya kutengeneza chakula cha kukuza kuku haraka (Grower mash) aweze kunielekeza. Ni vitu gani huwa vinahitajika ili kuchanganya mpaka...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wake, mipango na mikakati...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu ningependa kuchukua taarifa hii kuwatakia siku njema pia ningeomba msaada kidogo kuhusu biashara yakufanya mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu sasa nina ela ya mtaji 250, 000 je nifanye...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
Back
Top Bottom