Wanakilimo wenzangu. Nyasi zimekuwa zikinisumbua sana kwenye langu la mananasi huko Bagamoyo. Kupalilia mara kwa mara ekari zaidi ya ishirini si kitu rahisi sana ukizingatia kuwa wapaliliaji...
Heloooo
Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji
Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada...
Kama mada inavyojieleza huwa najiuliza hivi hakuna taasisi ambazo hufanya research za market za mazao yetu mana wakulima hawana information za kutosha nakumbuka zamani kahawa, pamba, mkonge...
Wakuu kwa anayehitaji mahindi anijulishe tafadhali.
Nauza mahindi nina gunia za debe sita kama 15.
Anayehitaji anipe bei tufanye biashara sitaki mwembwe wala ubabaishaji.
Unapoambiwa "kama ww ni mkulima wala usibugudhiwe kwa kupitisha mazao kwenye barrier za wilaya"
Mkurugenzi wa makusanyo anakwambia sisi hata gunia moja ushuru tunachukua.. ukitaka usilipe uwe na...
Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
Heshima yenu wadogo kwa wakubwa.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasoma shahada ya Food science and Technology chuo kikuu cha sokoine, matarajio yangu ni kupata uzoefu wa kufanya kazi katika...
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa
Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi...
Habari wanajf
Naomba mnisaidie yafuatayo..
1.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya nguo spesho?
Nguo hizo zinapatikana wapi kwa bei rahisi zaidi?
2.Ni mtaji kiasi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.