Mashine za kuangulishia vifaranga zenye ubora na uwezo wa hali ya juu zunauzwa. Ni kuanzia mayai 120--5000. Mashine zinatumia umem kidogo na zinatunza joto kwa muda mrefu. Ufanisi wake ni zaid ya...
Wasalaam kama inavyojieleza katika heading, katika jitihada zetu za kupambana na umasikini na kutegemea kuajiriwa tu nimeiona fursa katika kilimo na naomba msaada wa wadau ambao wako na utayari wa...
Ndugu, jamaa na marafiki zangu habari zenu. Nikiwa mdau na mkeleketwa wa kilimo huwa napata uchungu sana pale mkulima anaponunua mbegu ambayo inamletea mavuno duni, wakulima wanashindwa kuendelea...
Habari wana jamii forum, zao la korosho nimeona likilimwa sana pwani sasa nimekua nikijiuliza hivi je kuna uwezekano wa kulima hili zao la korosho katika ukanda wa ziwa (ziwa viktoria, Mwanza...
wakuu ni matumaini yangu kuwa mpo salama wasalmini...kutokana na hali ya kiuchumi na kutafuta ajira bila mafanikio, na kutokana na kusubiri ajira za serikali bila mafanikio, nimeamua kuanzisha...
Kwa yeyote anaeijua Makambako vizuri naomba anifahamishe Mambo yafuàtayo
1) Ardhi kwa ajili ya kilimo inapatikana kwa shilingi ngapi kwa heka
2) Mazao yapi ya biashara yanastawi sana
3)...
Wakuu habari za majukumu.
Ninatafuta mashine ya kufungia malisho ya mifugo (baling machine)
aina ya CLAAS au NEW HOLLAND
Tafadhali tuwasiliane iwapo unayo au unamfahamu aliyenayo
Ugonjwa unaowaathiri sana ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa kushambulia kwato na miguu yao, ujulikanao kama foot rot (kuoza kwa miguu) sasa umepata suluhisho kwa tiba asilia 100%.
Baada ya hiki...
Heshima kwenu wana JF,
Naombeni mchango wenu katika kuboresha wazo langu la uwekezaji ambalo natarajia kuanza utekelezaji miezi ya karibuni.
Mimi ni msomi wa kawaida nilifanya kazi kwenye NGO...
Wadau mm nipo mkoa wa Iringa natafuta soko au watu binafsi wenye uhitaji wa mabanzi au makapi ya mbao mkowa wowote tuwasiliane ili tufanye biashara namba yangu ni 0767879732.
Hii ni picture ya...
Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe...
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika.
**Iwe inatumia Petrol
** Inch 3
Nina 200,000/= taslim kwa kwenye...
Naombeni aina ya vyakula vya mifugo na bei zake kwa eneo ulilopo pia ushauri wenu juu ya biashara ya kuuza vyakula vya Kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wanajf nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mpunga mbeya but sielewi wapi pa kuanzia
Km kuna anaeelewa naomba kujulishwa mchanganuo mfano gharama za ukodishaji shamba heka ni bei gn na...
Habari za Majukumu wadau wa sekta ya kilimo.
Kumekuwa na post mbalimbali kutoka kwa wadau wa ufugaji wakiulizia vifaa mbalimbali vinavyohusiana na ufugaji kwa ujumla wake. Kuna wengi wamejitokeza...
wakuu tunamba ushauri juu ya soko la mboga na mahindi mabichi kwa hapa dar, tumepata shaba wastani wa ekar 5 ambazo tunatazamia kulima mboga mboga kama majani ya...
Inawezekana kabisa humu jf Kuna wataalamu wa Kilimo tena ni wabobezi katika sekta hiyo.. Nimeona Kuna watu humu wanaomba msaada wa kuzalisha baadhi ya mazao, Mfano maharage, mihogo..nk. Cha...
WAJAMENI, KWA ANAYEJUA, nimekuwa nikitaka kujua namna ya kupata namba special za kuuza na kununulia vitu online kutoka kwa vodacome na tigopesa, ambapo watu wanaweza kununua vitu kwangu na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.