Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Mimi ni mhitimu wa elimu ya juu mwaka huu na katika tathmini yangu swala la kusubiria ajira inaweza kusababisha ndoto zangu zisitimie kwani napoteza muda kwani wakati mwingine najikuta nikitamani...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Wandugu poleni na majukumu ya kila siku, Kilicho nisukuma kutumia dakika kadhaa kuandika hapa ni kuwa nahitaji mtu anae elewa mambo mengi kuhusu zao la alizeti, kwa mfano, linapo limwa kwa wingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Samahani nina mpango wa kujikita kwenye kilimo lakini sijui ni mazao gani yenye soko kubwa ili nijikite huko. Tafadhali naombeni msaada wenu.
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu kuku wangu hawa wa asili nimewanunua muda mrefu kweli lakini hawatagi wana tetea tu muda wote lakini kutaga hawatagi sijajua tatizo ni nini naombeni ushauri wenu tafadhali. Sent using...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria. Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
wakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv, naombeni ushauri...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa, wazo kuu linalo nijia kichwani ni kuanza kua na eneo la kujitosheleza ambalo nitahitaji mtaji mdogo tu wa kuanzia ambao mpango wa kwanza niku uwekeza katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:- 1.fama gadi 2.DAP 2.CAN 3.LINKON Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chakula cha vifaranga kinavyotengenezwa kinachanganjwa na vitu gani
1 Reactions
1 Replies
759 Views
Habar yenu wanajamvi mimi ni kijana mwenye elimu ya diploma. Nimemaliza shule ivi karibuni target yangu kubwa kuja kujiajili kwa cozi niliyosomemea kwaivo natafuta mtaji sasa jambo la msingi ni...
1 Reactions
5 Replies
708 Views
Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:- 1.fama gadi 2.DAP 2.CAN 3.LINKON Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habaru zenu wakuu naomba kufahamu jinsi ya kulima pilipili Mbuzi Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kufahamu kanuni za kulima na heka moja inaweza kuingia miche mingapi?Na vp faida yake sokoni Na kwa waliolima watupe ushuhuda Nawapenda sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu poleni na majukumu ya kila siku,kama kichwa cha habari, kinavyojieleza,,i kitunuu maji soko lipoje ndugu zanguni,kwa maelezo zaidi 0672302714
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo morogoro mjini...nahitaji fundi wa incubator...ni manual....air forced...inachukua Mayai 60-120... Namba ya simu 0755764161...sijajua tatizo nn...lakini haitoi joto...and kuna ways umekatika...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Habari: mwenye idea nzuri/ business proposal nzuri ya ufugani wa kuku wa aina yoyote aniandikie hapa. i will get back to him/her
0 Reactions
6 Replies
4K Views
habari za majukumu wnajamvi. ningependa nijue kuhusu kilimo cha bilinganya kuhusu masoko na kwa mkoa wa mbeya zinakubali?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari JF Nina shamba maeneo ya Kisarawe na ningependa kulitumia kwa kilimo cha pilipili mbuzi japokuwa sina uzoefu na kilimo hicho. Ninaomba msaada wa kitaalamu kwa kwa wazoefu kuhusu mambo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapi nitapata mahindi kwa bei nafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Back
Top Bottom