Poleni na pilika za ujenzi wa taifa,naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuwafuga Bata bukini,nilinunua Bata wawili jike na dume toka mwaka Jana mwezi wa Tisa lakini chaajabu mpaka leo hawajaanza...
Mambo vp wadau.
Naomba mnifahamishe,nimejaribu kutafuta jibu kwa internet na kuuliza baadhi ya watu lakini sijapata jibu...swali langu NI SAWA KUCROSS KUROILER CHICKEN NA KUKU WA KIENYEJI,kwamba...
Habari zenu.
Nimewahi kuuliza swali kuhusu mashamba ya kulima Ruvu,nikabahatika kupata maelezo,nikaenda na nimeanza. Lakini,uzi ulioniongoza nimeutafuta sijauona,ila nimetumia muongozo niliopewa...
Jamani habari humu jukwaani?
Naulizia kuna tray niliziona mahali, ziko kama tray za mayai lakini zenyewe ni maalum kwa ajili ya kupandia mbegu za mboga mboga kama vile nyanya, hoho, vitunguu etc...
Nahitaji vijana wenye nguvu na bidii,Kwa Kazi ya Kufyeka Pori /Mwitu Pwani tayari Kwa Kilimo.Kwa Uchache Vijana 10.Dodoma na Kigoma naambiwa ndiyo wapo.Mwenye Taarifa Taarifa tafadhali weka...
TUFANYE HAYA ZIARA ZA KUTEMBELEA MFUGAJI/MKULIMA
Siku za hivi karibuni watu wamekuwa na mwamko wa kutembelea kujifunza kwa watu wengine.Kujifunza kilimo na pia ufugaji.
Watu hutembelea kujifunza...
Guys igweeee, naomba kujua jinsi ya kupata greenhouse kwa ajili ya shamba la ekari moja. Ni greenhouse ngapi? Moja Lina cover ukubwa gani? Je ekari moja zitakiwa ngapi?je greenhouse package yake...
Nimeipata Mahali idea hii hivyo si vibaya nikashea na wengine kwa njia moja ama nyingine itawasaidia.
Kutengeneza GreenHouse kwa Kutumia makopo ya maji na take away inakarimu muda na garama za...
Habari mimi ni mgeni humu,ninaungana nanyi ktk kilimo,mm tayari nina eka 7 za matikiti katikati ya mwezi ujao nitaanza kuvuna eka 2 za mwanzo lakini huku ninakolimia kuna changamoto nyingi...
Habari zenu, wana JF ...
Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, ingawa nimekuwa mchangiaji mara chache kwenye nyuzi za wengine, hususan kwenye jukwaa la MMU.
Kuna rafiki yangu mmoja...
Habarini za leo wanajukwaa.Mimi ni mkazi wa mwanza.Natafuta shamba wilaya ya misungwi.Mwenye taarifa yoyote nakmba aje PM.
Post sent using JamiiForums mobile app
Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kienyeji kuku chotala,malawi,nk………
ninamtaji wa milion 7
nilazima nijisajili (TBS) NIWE NA (KAMPUNY)?
Je viloba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.