Ndugu wafugaji na wajasiriamali naomba kama kuna mjasiriamali anaeweza kuniambia nitapata wapi mbuzi WA nyama aina ya Boer ..Kuna wakati nilipita mawasiliano na MTU WA Dodoma akasema anazo lakini...
Ndugu zanguni, natumaini wote wazima wa afya. Naomba kujua gharama za ujenzi wa banda la mbuzi zipo vipi. Nimepanga kuanza na mbuzi 10 maeneo ya kibaha. Lakini iwapo nitafanya vizuri kwenye...
Habari wana jamii forum,
naomba nijue kitu kuhusu kilimo cha mahindi na kunde...tangu kupanda mpk mavuno huwa inachukua muda gani? kama mtu aliyeanza kupanda tangu mwezi wa tatu anategemea kuvuna...
Dear Sir,
We are , Şah Tarim foreign trade company , we are glad to share a brief company introduction with your esteemed company requesting your feedback on our products.
our company is...
Wakuu naomba ushauri wenu nimenunua shamba eneo la Vigwaza Buyuni ni zao gani linaweza kunitoa kimaisha
maana kwa sasa sina kazi na nina mtaji wa 500,000/= bank.
Nahofia nikifanya biashara pesa...
Jamani hawa jamaa siwaelewi kabisa nilikuwa nimedhamilia kuingia ktk ufugaji lkn jamaa hawa wanakatisha tamaa nimelipia ng'ombe nikaambiwa nisubili wapandishwe sasa sijawapata kila nikiulizia...
tujadili mada hii, ni vitu gani vifanyike ili huduma ya bima iweze kua nzuri na yenye tija kwa wakulima kama ilivyo katika sekta nyingine kama afya na vyombo vya moto.
Miaka kama miwili nilifika Singida kwa shughuli maalumu,niliweza kujifunza mambo kadhaa mazuri hasa kule Mtinko/Ilongelo. Nikawa na hamu ya kufika Tabora,akina Elinino/Sikonge walinipa ABC za...
Samahani wana jf Nina Shamba langu ddogo la ekari 2 la muhogo. Ninatamani kutengeneza unga wa muhogo ili niuuze badala ya muhogo wenyewe. Plz ninaomba Mwenye uzoefu na kazi hiyo nipo Dar.
Asilimia 40 ya mazao yanayovunwa Tanzania, yanaharibika kabla ya kumfikia mtumiaji kwa kukosa vifaa vya kuhifadhi mazao lakini pia kwa kukosekana viwanda vya kusindika.
SIDO wako wapi na...
Igweeeeee
Mfugaji aliyeko Dodoma na anauza kuku wa kienyeji, nahitaji matete 4 na jogoo moko, kwa ajili ya kufuga mbegu iwe nzuri.
Mdondo umenisafishia banda!
saizi ni ulimwengu wa smartphone na internet tumia fursa hii kueneza biashara yako mikononi mwa mteja.natengeneza blog na android mobile app kwa bei nafuu mno na kuiweka playstore kabisa.
blog...
Habari Wakuu,
Natafuta taasisi au watu binafsi mwenye utaalamu wa kilimo au Ufugaji ambao watakuwa tayari kutoa Elimu kwa watu wenye interest ya kulima mazao mbalimbali au kufuga mifugo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.