Mh waziri wa kilimo na ushirika nchini nichukue fursa hii kukupongeza kwa kazi nzur mnayoendelea kuifanya hasa kazi nzuri inayofanywa na Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.
Baada ya...
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada kama mtu anaufahamu na wafadhili wa mambo ya kilimo, kama naweza kupata wafadhili nahitaji mtaji na hali yangu sio nzuri kiuchumi nataka kulima kilimo cha...
Kuchelewa kwa mvua msimu huu ulinipa changamoto ya kutafuta mashamba katika Irrigation schemes kwani huko huwa hakutegemi mvua, kulima ni mara mbili kwa mwaka na kuvuna ni uhakika. Katika hangaika...
Mambo vp wana jf wenzangu, nahitaji madawa na chanjo kwa ajili ya kuku wa kienyeji, pamoja na chakula cha vifaranga, tafadhali naomba msaada nitapata wapi. Mimi nipo Mwananyamala
Habarini wapendwa wa kilimo. Kwanza kabisa niwapongeze wote tuliojaribu kuweka mazao mashamba msimu huu wa masika maana naamini tutapata.
Kuna Drip System za ekari mbili ila kila moja ya ekari...
Salaam wana JF
Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali...
Habari wadau wa ujasiliamali. Mimi nina eneo hapa dsm ( Bunju ) lilikuwa shamba, sasa mzee kalipa katika30*30, shida yangu natafuta mtu ambaye atakayeingia mkataba kati yetu na sisi ajenge nyumba...
Hii ni picha ya Parents (majogoo) kuchi na Giliraja nitafute +255785738738 kuna customer wanahitaji picha, zinakuja na kama wataka kuona karibu kwa farm. Mbezi Manyema off Salasala way.
Wakuu habari za leo,bila shaka wazima na mnaendelea namihangaiko yenu ya kila leo. Naomba msaada wa kujua ni zao gani nilime kipindi hiki huko ili na mimi nijitose mzima mzima kwa mara ya...
Habari wandugu zangu naomba kujua namna ya kuanza ufugaji wa kuju wa mayai........aina gani ya kuku ni bora zaidi? ........kwa kuku 500 ninahitaji banda la ukubwa gani? Chakula kiasi gani...
Habari wanajamvi?
Leo nimepata maswali mengi baada ya kuona kanda ya ziwa mazao yanakauka kwa ukame mkubwa ulioikumba nchi. Hivi Kuna maana gani kujenga viwanda kwa kilimo cha kutegemea mvua...
Habar wanajamvi mimi ni mjasiliamali mdogo nataka Kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji aina ya kuroiler. Tayari nimeshajenga banda tayari ila pesa yote imeishia kwenye ujenzi wa banda...
Wadau poleni na shughuli za kutwa nzima ya leo,
Ni hivi kuku wangu tetea yapata wiki ya pili sasa linafunga jicho moja mda wote labda ashtuke ndo atafungua na kisha kulifunga tena, nashindwa...
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
Kwa kweli nimehuzunishwa na kuona tukio Kama hili.maswali mengi nimejiuliza 1.mtu ana ngombe 250 .1 mwenye ngombe huyu alijaribu kuuza hawa ngombe na hakupata soko? 2.mfugaji huyu hakuona Kama...
Habari zenu wana JF
Nimejaribu kufuatulia kwa ukaribu ufugaji wa bata mzinga na nikafanikiwa kupata maelekezo namna ya kuwafuga na kuandaa mazingira ya kuwafuguia yaani ujenzi bora wa mabanda,kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.