Salama wadau. Naomba ushauri kuhusiana na kilimo. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo mwisho wa mwaka huu, ningependa kulima mojawapo ya mazao haya, mahindi, mpunga au maharage. Nomba kujuzwa eneo...
Mwaka huu kama ilivyo miaka kati ya mwaka 2008-2016 kulikuwa na utoaji wa pembejeo za kilimo yenye ruzuku kwa wakulima. Wakulima walengwa huchangia kiasi cha fedha na kiasi kingine kuchangiwa na...
Wakuu,
Binafsi naona kama utengenezaji wa viberiti ni fursa kubwa sana kwakuwa soko lake lipo si la kutafuta kabisa.
Kwa wenye uelewa wa utengenezaji tunaomba tubadilishane mawazo hapa katika...
Habari za mchana,
Poleni na majukumu. Kama maada inayojieleza hapo juu, nilitaka nifahamu kuhusu kilimo cha alizeti wilayani Iramba. Nimepitia maada mbalimbali humu ndani na nimeona kuna mwana JF...
Habar za mihangaiko ndugu zangu??
Nilikuwa naomba kujua bei za vyakula kama maharage, nyanya, mchele na viazi ulaya katika soko kuu la lushoto, mm nipo dar nataka nifanye biashara ya kutoa...
Wana jf naombeni mimi ni mgeni kwenye kilimo, nimehamasika na kuvutiwa na kilimo cha nyanya! Mwenye ujuzi na kilimo hiki naomba msaada wako tafadhali.. Namna ya upandaji, upigaji dawa, umwagiliaji...
Kwa wataamu wa kilimo naombeni msaada wenu niweze kusaidia jamii ya wakulima wa kijijini kwetu na maeneo jirani kwa watakaokubali ushauri ntakaowapa kutokana na majibu yenu!
Kutokana na hali ya...
Habari wadau? Nahitaj soko la vitunguu vyangu... Vitatoka mwanzoni mwa March nimeona sio mbaya nikaandaa soko kwani sio vingi sana. Shamba ni kama nusu heka kwa sasa... vingine bado vidogo. Shamba...
Nina tafuta mtu yeyote mwenye mtaji-pesa ili tuunganishe nguvu katika ufugaji wa mifugo mbalimbali kibiashara. Mimi nina uzoefu, maarifa na utaalamu katika nyanja ya mifugo (nimesomea). Katika...
Kumekucha tena,
Natamani niwe na kiwanda cha kutengeneza tambi kwa ajili chakula. Nimepata habari kuwa Unguja biashara hii ipo sana. Natamani kujua ukubwa wa mtambo/vifaa muhimu na gharama zake...
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo:
-Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika,
-Fedha...
Kuku wangu ni katili sana hapendi mbuzi,mbwa wala kiumbe wengi sasa inafikia mahali analalia mayai yake anayaacha nakufata mbwa wanaobweka jirani na mabanda na kuwafukuza.kasha toboa macho mbwa...
Hodi humu ndani, naomba kwa wazoefu mnisaidie nataka kulima pilipili Mbuzi.
Naomba ushauri wenye experience fulani juu ya zao hili mbegu kilimo na soko kwa ujumla.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.