Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Naombeni mbinu za ukulima wa Mtama unaofaa kutengeneza via Je upatikanaji wa Mbegu upo vipi Maana hata aina siifahamu nia aina gani ya mtama inayofaa kulimwa ktk mkoa wa pwani Na je mtama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msaada jamani mwenye uzoefu na biashara za matango. Nina heka 1 ya tango inaanza kuvunwa mwezi wa 5 mwishoni. Mwenye kuhitaji au mwenye kufahamu wanunuzi tuwasiliane 0652 228 888.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jamani wadau naomba mwenye experience kuhusu udobi anijuze bei za laundry machine na bei za kufua nguo aina tofauti. Ikiwezekana anipe ujuzi wa uendeshaji wa biashara hiyo. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ninampango wa kuanzisha 'Project ya ufugaji wa samaki' kwa malengo yafuatayo; 1. Kupambana na uvuvi haramu unaoendelea katika mito na maziwa nchini Tanzania. 2. kuondokana na dhana ya vijana...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kuna kitabu cha muongozo ambao kimeandikwa na shirika la USA la Heifer nami nilifanya kwa vitendo maarifa haya na kuweza kupata matokeo tajwa kwenye kichwa cha habari. Ndani ya...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini za Mchana wana jamvi, samahani Nina maswala kadhaaa ningependa kuuliza na kupata ufafanuzi. 1. Ninawezaje kulifanyia survey shamba langu la miti ili nipate hati?? 2. Ninaweza kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama hauna kazi nenda shamba ukalime,umemaliza degree yako usisubirie ajira nenda kalime inalipa sana. Watu wameitikia mwaliko kwa moyo wote,sasa bei zinavoporomoka kwa kasi mpaka tunabaki...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu natafuta ng'ombe kama hawa kwa ajili ya mradi wangu wa ufugaji, ila sijui naweza kuwapata wapi Tanzania.
1 Reactions
28 Replies
16K Views
Habari zenu wadau, Mm ni muhitimu wa chuo kikuu nimesomea masoko baada ya kutembea Sana na bahasha bila mafanikio nimeamua sasa mwaka huu niijigize kwenye kilimo ili kupunguza ukali wa maisha...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Wadau ninaomba ushaur. Baada ya kusoma sana humu jf kuhusu ufugaji wa kuku faida na changamoto zake. Nikaamua nianze kukufuga Kuku chotara.kwa sasa Nina tetea 60 na majogo 10 wanao panda ambao...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Wadau, nina mipapai kadhaa ya kisasa, lakini ikitoa maua yanaanguka yote, na hakuna mapapai yanayoshika. Picha inaonyesha hapo chini. Je? Tatizo ni nini ? Msaada wadau..
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wadau natumai mu wazima, Nimekaa na kuwaza sana, nimeona niwashirikishe ili tuweze kujadiliana au kuona ni namna gani naweza kupata mtu wa kushirikiana nae. Babu yangu anaeishi Arusha...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nataka kununua basi aina ya coaster au DCM iwe kama daladala hapa Dar, naomba anayejua bei ya DCM au coaster ambayo ni used anifahamishe wakuu, mimi nina million 20 je, naweza...
0 Reactions
54 Replies
26K Views
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Vijana,Sera kazi na walemavu ndg Antony Mavunde leo ametembelea shughuli mbalimbali za kilimo cha Green house zinazofanywa na vikundi vya vijana mkoani Morogoro...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nimeleta huu uzi kuwa wilaya yetu ya Hanang ina takribani eka 63000 ambazo ni mali ya serikali kuu. Haya mashamba yapo kwa wawekezaji mbalimbali ambavyo inasemekana...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wataalam wa kilimo na masoko hodi himu ndani, nauliza jaman na kuomba ushauri pia kwa sasa kuanzia mwezi huu wa Kwanza naweza kulima zao gani? Hususan kwa kumwagilia? Naomba mchango wa mawazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar za kaz wapendwa Nina vifaranga vya broiler vina karibia wiki 2 tatzo haviongezeki kwa kasi sijui nimekosea wap? Tisaidiane wenye uzoefu... Booster ipi nzur utawaamsha au nifanye nn? Thanks
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Naomba kujua kuku wa kisasa wa mayai wanakua kwa mda gani mpaka kuanza kutaga,na je vifaranga vinauzwa bei gani.
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Wadau salaam, Kumekuwa na maneno kama uvumi kwamba moshi kuna mahindi mapya kutona mashambani yanavunwa muda huu, Naomba kuthibitishiwa hili na watu wa huko kwani mimi moshi siifahamu kabisa hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom