Kilimo cha kutegemea mvua hakifai kokote duniani.Angalia nchi kama Misri, Israeli, Ethiopia na Sudan ambazo zinakumbwa na ujangwa uliopitiliza, wanalima mno kisasa kwa umwagiliaji toka mto Nile...
Wadau,
Napenda kufahamu ni vipi wakulima wa kahawa wanavyofaidika na ukulima wao, katiika mikoa inayotoa hii kahawa na zipi challenge zao kubwa.
Pia,napenda kufahamu wapi zabibu inatoka vizuri na...
Habari za muda huu wanafamilia ya Jamii Forum na heri ya mwaka mpya pia,
Wakuu,kipato hakikidhi mahitaji ya muhimu na msingi hasa kwa kutegemea mshahara.Hivyo nimeona naweza nikageukia kilimo...
habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana...
wakuu nna automatic incubator lakini cjapata kifaranga hata kimoja cha bata mara mbili mfululizo lakini mayai ya kuku yanatoka vizuri tu naombeni msaada wakuu
Asalaam kama ulivyosoma hapo nje mkuu, mi kijana katika kutafuta maisha nikaona niguse kila mahali nitafute mtaji kwanza mwenye utaalamu au anaejua kuhusu kilimo hicho anielekeze
Wakuu habari zenu...
Kwa heshima na taadhima naomba kupata darasa kuhusu ufugaji wa nyuki kwa ajili ya asali.
Kwa wale wa Tabora, Arusha au popote pale kwenye kilimo hiki naomba msaada...
Ndugu zangu naomba msaada nimefuga kanga na kuku upande wa kuku hakuna tatizo ndipo nikaona nijiongeze kufuga kanga. Ni eneo kubwa sana wanapata chakula cha kutosha tatizo wanataga vichakani bila...
Ndugu zangu napenda kuwataarifu kuwa mvua zimeanza ,karibia kila kona ya tanzania,nyanda za kusini,kanda ya ziwa, pwani,kanda ya kati, kazikazini na kwingineko.
kazi kwenu. mi tayari niko kwa shamba
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema...
Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni Mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea 10 kwa shilingi elfu 13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka...
habari zenu wana JF poleni kwa majukumu nilikuwa na omba msaada kwa anayefahamu mbegu nzuri kwa ajili ya kilimo cha karanga na inayokaa sokoni mda mrefu bila kuharibika pamoja na hatua za ulimaji...
habarini wakuu,
naomba kupata muongozo wapi naweza kupata maelezo ya kina kuhusu hali za hewa za mikoa ya Tanzania na mazao yanayoweza kustawi katika mikoa husika. napenda kupata takwimu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.