Mimi naishi mbeya Kusema ukweli sijawahi kupenda kulima sababu ya kunyanyaswa wakulima. Ila nimejaribu kutokana na hali ngumu. Ila mwaka huu umekuwa wa ajabu. Mwaka Jana muda kama huu mvua ilikuwa...
Wale Wakulima tunaotegemea mvua msimu ndio huu hapa. Nawakaribisha tujumuike kwa pamoja na tupeana uzoefu wa kilimo hiki hususani kwa kutumia tafiti walizotangaza TMA. Tukianza na wale...
Wakuu 'Posuta'
Mi ni mdau ninaetaka kuhamia Karatu hivi karibuni kikazi..ila pamoja na hayo mi ni mjasiliamali kwenye kilimo na ufugaji hivyo nataka kujua bei za mashamba kwa huko zipoje kwa...
mimi nipo arusha, natafuta sehemu ambayo wanakodisha mashamba kwaajili ya kilimo, pia nahitaji kujua ni mazao gani hasa yanalimwa kwenye hayo mashamba. msaada tafadhali
Katika kuandaa vyakula vya mifugo protini hutumiwa kwa wingi. Chanzo kikuu cha protini ni bidhaa kama dagaa, soya nk. Ila sasa hivi dagaa wameadimika na kuwaweka wazalishaji wa vyakula vya mifugo...
Wadau, nimetafakari jambo hili. Watu wengi wanasema msimu wa kupanda tikiti maji ni kati ya March and september. Lakini msimu huu nikiangalia kupanda mahindi ni kama kucheza karata. mpaka sasa...
Bei ya vitunguu soko la ilala imepanda kutoka shilingi 60,000 miezi miwili iliyopita hadi 105,000 kwa gunia la kilo 100 kipindi hiki kutokana na kuadimika kwa vitunguu msimu huu
Kwa Wanajavi na wadau wakilimo.
Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana...
Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo,
1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama
2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je...
Habar jf
Nahitaji kulima zao la pilipili mbuzi, lakini tatizo langu sina elimu ya kutosha kuhusiana na ulimaji pamoja na soko lake
Naomba yeyote mwenye ufahamu japo kidogo anijuze.
NAWASILISHA
Habari watalam wa kilimo na ufugaji,
Kuna kupindi nilisikia kuwa kuna trecta hapa nchini linauwezo wa kulima matuta.. je nikweli?
Nahitaji kwa ajili ya kukodi kama lipo, mm nipo mkuranga..
Habari zenu wakuu.
Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano...
Je serikali imejipangaje kumuinua huyu mkulima wa tangu 1961 analima mpaka leo lakini hana maendeleo!
Nadhani sasa tufike mahali tuweke siasa pembeni tuache sayansi ifanye kazi! serikali inabidi...
jamani huko wenzetu vipi,maana kwa hali ilivyo shinyanga mwaka huu ni hatare mvua inajaribu kidogo tu inasepa, kwa kweli wakulima full kuchanganyikiwa hatujaslima kabisaaa mpaka saivi. na magu...
Juzi juzi walikuwa na dalili za cocodiosis wamepona lakini tangu jana wanaanguka hovyo na kufa sijajua sababu ninini na wana chanjo ya magonjwa yote unaamka asubuhi unakuta tayari wameshakufa
wandugu, mimi ni mjasiriamali niliejiajiri kwa biashara ya chokaa, hapa Tanga tunaitengeneza locally (ambayo ndio inahitajiwa zaidi) na baada ya hapo tunawauzia watu wa hapa hapa tanga wenye...
Mwana Jf. Nina vifaranga wa wiki tank sasa, wamepatiwa chanjo Tatu mpaka sasa, chakula na Maji wanapewa cha kutosha na joto lipo lauhakika. Kinachonishangaza ni vifaranga kuzubaa ghafura na...
habari wanajamvi. ..tulimskia mkuu akisivu na akitamba juu ya kupanda kwa bei ya korosho kwa mwaka huu...huko mikoa ya mtwara na lindi kwa ujumla . hivyo tumpongeze kwa hilo lkn nimesitushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.