Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao
majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata
na bei zao zikoje?
Mhe Waziri wa kilimo na uvuvi, nakusalimu kutoka morogoro, ifakara, kijiji kinaitwa KIBEREGE, mimi ni mtoa huduma za kukusanya madeni kwa vyama vya ushirika, chini ya Tume ya ushirikanchini mwaka...
Watanzania wenzangu mimi ni kijana mwenye malengo makubwa maishani,umri wangu ni around 20's.Nimehangaika sana kupata mtaji hatimaye nimefanikiwa,nimepata kiasi cha shilingi laki 7.
Nataka niingie...
Jipatie kipato kwa kutengeneza au kuomba space mahali mfano kkoo au hata njee ya duka la mshikaji wako weka ki friji chako uza juice, smoothies na salad kuliko kukka bure add value mazao ya...
hello,
wandungu na wana jf wenzangu, nina shamba la hekari 20 mkoa wa kilimanjaro ,wilaya ya moshi vijijini kata ya kahe, karibu na shamba la miwa la TPC (walima miwa ya sukari).
hivo nataka mtu...
Habari za mida ndugu zangu nilikiwa naomba mchanganuo wa tikiti maji kianzia mbegu nzuri ya Arashani FI-kutoka syngenta na duka gan la pembejeo zinauzaje izo mbegu vile vile kwa ecar 1 km tikit...
Wadau wenye uelewa tafadhari naomba kujua bei ya eggs incubator na jinsi ya kuitumia.Nahitaji kuanza ufugaji kuku.Mashine iwe na uwezo wa kutotolesha Mayai 50-100
.Picha ni muhimu
Habari wana jamvi...
Natafuta soko la zao la choroko, nipo Manispaa ya Morogoro.
Choroko hizi ni za mwaka huu na ni zile za punje nene,zipo tani 6.
Kwa yeyote atakaekuwa interested au ataka eweza...
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;
Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
Kutengeneza na kuuza tofali
Ufundi, Website...
Habari wanajamii,
Kwa mda mrefu nimekuwa nikilifuatilia kwa undani jukwaa hili juu ya hoja na ushauri mbalimbali kuhusu kilimo. Ni jukwaa ambalo limenijenga na kunifumbua macho juu ya opportunity...
Hapa kazi tu. Siangalii aina ya kazi, ninachoangalia ni uhalali wa kazi. Kazi yoyote halali nitaifanya ilimradi tu wajibu wangu kama Baba kwa wanangu, kwa mke wangu na wategemezi wangu nautimiza...
Habari zenu wadau!Nilikuwa naomba msaada kwa wazoefu wa kilimo maeneo ya Mlandizi. Nina shamba la ekari 8 mlandizi ni km 3 kutoka barabara kuu ambalo bado sijalifanyia project yoyote, Bt kwa...
Nauza mpunga anaehitaji, zipo zaidi ya tani 2
Pia ninajihusisha na kilimo cha viazi mviringo vya njombe ambavyo havina mabonde unaweza kupata zaidi ya gunia 100
Contact me ; 0676 885 042
Email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.