Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari humu jamvini, kwa yule mwenye uzoefu na hii biashara tafadhali naomba anielekeze inafanyikaje kuanzia mwenye chombo mashine mpaka mgawo wa kinachopatikana tafadhali jamvini humu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka huu ninataka kulima alizeti ila xjawhi kulima naomba mnisaidie nn mahitaji ya kilimo hiki na matokeo yake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Katika pitapita zangu, nimekutana na jamaa anauza miche ya mwa40 inayotoa mbao. Yeye alinieleza kuwa mbegu hiyo ni tafofauti na ile ya mwa40 tuliozoea kwa maana kwamba mti wake unakua kwa kunyooka...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Naomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanaBodi Naomba contacts za mtaalam wa Mifugo Aliyeko Kibaha. Aina ya mfugo ni Nguruwe. Naomba mwenye contact ani PM au aweke contact hapa. Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nimepotea sana ila tupo pamoja. Naomba mnijuze kuhusu wale kuku wanonoo wakubwaa nawaona mtaani,anaweza kuwa na kg 6 au 7,kubwaa,nikauliza wakasema wanaitwa Amadol.(Hili jina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana bodi nianze kwa kutoa pongezi kwa michango mbalimbali ambayo mmekuwa mkiiweka hapa jukwaani. Baada ya kupitia hili jukwaa la kilimo na ufugaji kwa kipindi kirefu nami nilishawishika kujaribu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wandungu mwaka jana nilipewa shamba kama zawadi ila sasa kiukweli lina mgadi kiasi kwamba sijui zao la kupanda katika shamba hilooo . kwa mtu mtaalamu naomba ushauri kwa hillo plz. nipande...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani naomba utaalamu wenu juu ya upandaji Shamba LA miti ya mbao. Inapandwa kwa interval gani mti hadi mti na mstari hadi mstari. Naombeni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wandugu? Katika harakati za kujikomboa kiuchumi kupitia ufugaji kisasa nilipata Wazo zuri na kubwa kwangu katika ufugaji wa nguruwe, nlipita kwenye mabenki na taasisi za serikali na...
2 Reactions
3 Replies
977 Views
Ukija kwenye swala la kujiajiri kwa wasomi, walio somea Sheria huenda wakawa wanaongoza, Hawa jamaa can u image kwenye masomo yao yote hawakugusa sijui Kitu inaitwa Entreprenership ila wakimaliza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo aje wakuu Naomba kufaham kama kuna madhara kuosha mayai ya kuku na badae umuwekee alalie. Kuna mayai nimeletewa toka shamba bahat mbaya yalikua machafu..na pia niliweka kwenye maji kubaini...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
OPPORTUNITY ON FISH FARMING WORKSHOP Read more here RDN Member Registration / Login Thanks.
0 Reactions
0 Replies
863 Views
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Commitment iliyoonyeshwa na members waliosafiri kutoka Mikoani, hasa Arusha, Same, Dodoma ni ya kipekee, ambayo kwangu naifananisha na commintment ya Thomas Edson, mvumbuzi wa Balbu. Kwa siku ya...
16 Reactions
73 Replies
8K Views
Mbegu za pilipili, pilipili hoho ,nyanya, majani ya maboga , zinauzwa wapi ? Siyo nyingi, zinazouzwa kidogo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu? natumai nyote muwazima. Kama kichwa kinavyojieleza, kuna kampuni nimebahatika kufanya mawasiliano nayo ina uhitaji mkubwa wa mayai. Zinahitajika tray 2000 kwa siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajumbe,Naomba kujuzwa zao gan naweza panda December wakati wa mavuno soko litakuwa poa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari, naendelea kufanya Utafiti kuhusu mahindi madogo ya njao yanayotumika kutengenezea Popcorn. kwa kiasi kikubwa mahindi haya yanatoka nje ya Nchi kwa sasa . mwenye kujua je mahindi...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom