Wapendwa, habari zenu? Poleni sana kwa majukumu.
Naomba kusaidiwa, soko la matango kwa mwezi wa December nitafanikiwa?
Nimepata shamba tayari na najua gharama zake si kubwa kiasi hcho, naombeni...
Habarini wana Ndugu, nimeanza ufugaji wa Batamzinga kama hobi lakini with time naona naanza kufikiria zaidi kibiashara. Lakini of recent bata wangu mmoja amepata huu ugonjwa wa uvimbe mdomoni...
Mimi naishi Dar es salaam,
Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa ,
ng'ombe watakao weza kuendana na hali ya hewa ya Dar,wawe wenye sifa
ya kutoa maziwa mengi na...
wakuu heshima kwenu,
Nimefuga kuku wa MALAWI wapo 300 ila wanakula isivyo kawaida na ndio kwanza wana miezi 4 kabla ya kufikia kutaga .nimefuga aina tatu ya kuku ikiwemo sasso na aina fulani ya...
Salaam Wakuu,
Mimi ni kijana muhitimu wa Chuo kikuu. Katika mapambano ya kusaka mkate wa kila siku nimeona ni vema nikajikita katika kujiajiri. Naaam kujiajiri katika sekta ya Kilimo na ufugaji...
Limenijia wazo kichani mwangu, washkaji munaonaje tukaanzisha kitu kama tour au ziara fulani hivi kwa ajili ya kujionea watu walivyofanikiwa katika kilimo, ufugaji na pia kupata fursa ya sisi...
Habari za humu mu wazima?
Kumekuwa na vizuizi vingi sana kwa wakulima wa kiafrika kusafirisha mazao yao nje ya Afrika kwa kigezo cha mazao yenye madawa
Hali hii imesababisha mazao mengi kama...
Habari Wana JF
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wataalamu wa kutengeneza Website ya Kampuni. Ni kampuni itakayohusika na mauzo ambayo wateja wataweza kulipa kwa kutumia Mobile Money...
Habari ndugu zangu. Naitwa Mwl Madnja RF nipo Sengerema. Natafuta kuku aina ya kuchi, wale wasio na manyoya mengi, wenye mdomo mfupi sana. Pia soko lake likoje? Mwenye nao tuwasiliane kwa Whatssap...
Wadau, nina mtaji wa milioni 20, eneo la ekari 1 Kibaha. Nataka nianzishe ufugaji wa kuku wa mayai. Tayari nimejenga nyumba ndogo ya kuishi mfanyakazi. Bado naendelea na ujenzi wa mabanda ya kuku...
Habar wanajamvi mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji wa kawaida sasa nataka kubadilisha mfumo wa ufugaji kutoka kuku wa kienyeji kwenda chotara aina ya kuroiler sasa nataka kununua vifaranga je...
habari za leo wapendwa. natumain hamjambo na Mwenyezi katubariki kabisa.
natamani niingie katika biashara ya hawa viumbe. ila nataka nijue ni wapi ambao hawashambuliwi na magonjwa ovyo, hapa naona...
Members salama.Nina project ya ufugaji kuku ambayo nimeanza miezi miwili iliyopita baada ya darasa zito kutika hapa.Project inakwenda vizuri na ninefanikiwa kutotoresha vifarangq kwa awamu ya...
Unapofikiria kufanya ufugaji wa kuku lazima wazo lako likupeleke kwenye kufanya ufugaji wa kuku wa kibiashara ufugaji ambao unakuwa kama kazi. Kwa wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu hawana haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.