Ndugu wajumbe, nimevutiwa sana na kilimo cha umwagiliaji wa matone hasa kwa kilimo cha kahawa eneo nililopo hivyo basi ningeomba wazoefu na wataalam wa kilimo wanisaidie juu ya vifaa...
Naomba kuuliza, hivi inawezekana?
Nataka kufuga Kuroiler kwa ajili ya nyama hadi Chrismass niwauze kwa ajili ya nyama.
Mabanda yapo na nitakuwa nawalisha chakula cha kiwandani.
Imebaki kama...
Welcome to nginx!<br /><br />Ceos Tanzania hub ni group la whatssap linalokutanisha Wadau wa biashara kutoka mikoa Tofauti Tanzania lengo ni kujadili, kupeana Elimu inayohusu Uongozi, Ujasiliamali...
NORDICDRY Ni kama cotton' Inakuwa kama mfuko una hanger. Kazi ya hiyo ni kunyonya moisture, Kama kuna mazao ktk ghala ukiweka inanyonya moisture kwa hewa. Ikijaa inakuwa na maji unatupa. Box moja...
Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira
Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??
Viwanda...
Salaam wanajamvi,Baada ya kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa makala na ushuhuda wa wafugaji hapa jukwaani nikashawishika kuwaanza hii shughuli.Wiki iliyopita nikaenda morogoro nikanunua matetea...
Ninaomba ushauri nahitaji kununua incubeta kwa ajili ya kutotolesha mayai naomba nijue ni haina gani ya incubeta inafaa na mchanganuo wa bei hata zinapopatikana
Mimi naishi mjini, wala si mkulima kwa practice, bali kwa taaluma.
Mwaka jana kuna mbolea ya ruzuku 'ilikuja' mtaani kwetu nami nikajipati mfuko mmoja UREA na miwili ya DPP. Nilichukua nikaweke...
Naombeni kwa walio na uzoef wa ujenzi wa mabanda ya kuku. Nataka nifuge kuku wa kienyeji 80-100. Naombeni design ya banda ya kuku inayofaa kwa idadi hyoo
Kipindi cha Baba Wa Taifa miradi mingi ilianzishwa. Vipindi vilivyofuata ubinafsishaji ulifuata. Mali nyingi zilipewa waekezaji na hazikuendelezwa tena na kufanya uchumi udorore. Baadhi ya miradi...
Salamu kwenu wana jamvi!
Ninataka kutumia maji ya mto uliokaribu na shamba langu hapa kijijini kwetu. Ninapata usumbufu toka kwa watendaji kwa madai ya kusimamia mazingira! Naomba mwenye uelewa wa...
Sasa tatizo la aridhi kati ya wakulima na wafugaji limekuwa kubwa karibu mikoa yote ya Tanzania. Wananchi wanapoteza maisha na wengine wanakuwa walemavu,je serikali ina utaratibu gani kuepesha...
MBEGU BORA ZA MBAAZI ZIMNAPATIKANA SASA... QUALITY PIGEON PEAS SEEDS AVAILABLE NOW
Habari,
Kwa wale wanahitaji mbegu bora za Mbaazi (zimethibitishwa na TOSCI) sasa mbegu zinapatikana Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.