Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari ndugu zangu? Nimeamua rasmi kuingia kwenye kilimo na ufugaji lengo langu kuu ni kulima mpunga na vitunguu na kwa upande wa mifugo tayari nimenunua nguruwe 10 na kuku 20 wa kienyeji 15...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi. Naamini jukwaa hili kuna watu wana/wamiliki wa project za kilimo na ufugaji na naweza kupata msaada. Nahitaji kazi katika maeneo tajwa hapo juu kama 'unskilled...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Amani kwenu nyote. Nia ya bandiko hili ni kuomba msaada kwa wale wenye taarifa au wameshapitia mchakato huu wanisaidie maelezo na utaratibu jinsi ya kuanzisha gazeti la kila siku au kila wiki...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari ya majukumu, Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka mwaka 2011 na sasa nina zaidi ya kuku 700. Tatizo langu ni kuwa mwanzoni mwa mwezi huu niliatamisha kuku 18 ambao jana...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi?Naitwa Nicholas naishi morogoro,nashughulika na biashara na ufugaji.Kifupi ni kwamba nimepata tatizo katika kuku wa nyama niliowachukua kutokakampuni ya interchick kupitia...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau nimekuwa nikijiuliza kuhusu ufugaji wa bata mzinga (turkeys) nasikia wanauzwa bei ghali. Kuna mwenye uzoefu na mradi wa aina hii? Na je soko lake lipo?
0 Reactions
16 Replies
19K Views
wadau nipo katika hatua za mwanzo za utafiti wa utengenezaji wa peanut butter kwahiyo yeyote anayefahamu chochote kuanzia bei za mashine za kusagia karanga na vingine vinavyohusika. ahdante
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wanabody nimekuja kutoa rai yangu wale wenzangu waliojitokeza kulima matikiti mwaka huu. Hali ilivyo mpaka sasa si shwari kwa kuwa soko linatatiza sana kwa maana watu walioingia kwenye kilimo...
7 Reactions
78 Replies
14K Views
ifahamike kwamba, ufugaji na kilimo ni uwekezaji mzuri hasa kwa wakulima wenye mashamba madogo na hata yule mkazi wa mjini ambaye anaweza kulitumia eneo lake la uwani kufuga. Ifahamike pia...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nina mashine hii kwenye picha naomba masaada wa kuseti maana kila nikiseti inaishia 30 tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu kwani Nina mazao yangu yapo Bagamoyo nahitaji kuyasafirisha wazoefu naomba mnijulishe ni viroba kama kumi nataka nisafirishe kwa hivi wanaita kirikuu Natakiwa niwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
. Naomba ushauri juu ya hili tatizo kwanini zinapasuka na zingine kuoza. Hizi tikiti bado wiki mbili zivunwe na tatizo hili Luna siku kama 3 toka lianze
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa ushauri matibabu na mbinu za kufuga au kulima kwa gharama nafuu usisite tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
936 Views
Tunauza na kufunga madirisha, milango na Balcony kwa PVC toka Uturuki na Aluminium. Bei zetu ni nafuu sana. Bei zinajumlisha ufundi na usafiri hadi nyumbani (ndani ya Dar es salaam). Mteja mwenye...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Salamu kwenu wana Jamii Forum na Wakulima wa Tanzania. Nimetafakari kwa kina na kuona kuna haja ya sisi wakulima wadogo wadogo wa Tanzania kuungana na kupaza sauti zetu kwa pamoja na kuiomba...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wadau Mimi ni mkulima mchanga( nikimaanisha ndio naanza hizi shughuli za Kilimo) sasa tangia nimeanza tatizo kubwa ambalo nalisikia ni kuhusu soko la bidhaa zetu. Ndugu zangu mimi nina...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, nafahamu uwepo wa manguli wa kilimo humu JF, itakua faraja kama nitapata msaada wenu. nimenunua shamba la heka mbili miezi sita iliyopita, nataka kujua utaratibu wa shamba boy kulipwa...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Habari wanajf, Mimi ni mkulima ninajishughulisha na kilimo cha mbogamboga [kilimo cha bustani] pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji. Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni ukosefu wa mitaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Weekend hii naitaji kuingiza vifaranga vya kisasa wakienyeji sasa bado sijapata ufahamu juu ya vyakula vyao vinaitwaje? na gharama zake zinaendaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, kwa wale wakulima wa Mahindi walioko katika wilaya ya Mbozi na maeneo ya jirani. Sisi wataalam wa kilimo tunapenda wakulima wapate kipato kizuri na si kipato tu bali katika kipindi...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom