Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Kama kuna anaefahamu bei ya kuuza kwa jumla sokoni, bei ya kitunguu swaumu cha asili na cha kawaida naomba anijulishe tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi naulizia soko au mkoa ambao naweza pata ngozi punda kwa ajili ya Biashara nataka idadi yyte nkikusanya nitapata tani nitakazo Mawasiliano 0716561026
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Naomba Ambae Anatumia Hizi Bidhaa,uzoefu Wake Na Ikiwezekana Anipe Ushauri Wa Kitaalamu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari? Nimefuatilia sana mitandaoni kuhusu hawa kuku aina ya Kuroiler, nimetokea kuwapenda kwa jinsi wanavyosifiwa ila sina uzoefu nao. Sasa kwenye pita pita zangu za kutaka kujua wapi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Nimepata skimu ya umwagiliaji nataka nilime mpunga lkn baada ya kuvuna mpunga nataka kujua zao gani lingine naweza panda jwenye skimu hiyo.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ni 35 kwa 35 huku maji kibao,miti ya kujengea banda takupeleka pahali ukate mpaka ukmbie bure,njoo ufuge kuku hapa kwangu ni mpakan mwa kibaha na kisarawe umaskini si wa kuendekeza.nicheck 0764726071
0 Reactions
5 Replies
1K Views
#Knowyourfruitswellseries WATERMELONS!!! Watermelon is a high value crop in Kenya and does well in warm areas with minimal irrigation. The crop requires well drained loamy soils, rich in...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
msaada wa haya mambo plz jee unaweza kuwafungulia kuku wa kisasa nje ukachanganya na kienyeji wakajitaftia chakula? kuhusu mwanga wa taa jee ni lazima kwa kuku wazima wa kisasa? vipi kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu unaweza endelea kuwapata kwa kuweka Oda hizo breed na kwa sifa zao zaidi google 1. KUROILER-Hii breed inaweza ishi mazingira magumu kabisa, na Mseveni President of Uganda alipo fanya ziara...
3 Reactions
6 Replies
12K Views
Global forum on agriculture research,GFAR inatoa funding opportunity kwa vijana wote ulimwenguni wenye umri chini ya miaka 39 wanaofanya au wenye mawazo mazuri juu ya kilimo, uvuvi na ufugaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF wote. Natumai mu wazima wa afya. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki ili maisha yaendelee. Mimi nina shamba kidogo lenye ukubwa wa ekari 3. Eneo lina maji...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu wajasiriamali, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Mimi nina eneo lenye maji kiasi kidogo na nataka kulitumia kwa kilimo cha umwagiliaji.Wapi nitapata...
0 Reactions
53 Replies
20K Views
asalam alykum sisi nivijana ambao tulio jitolea kiakili na kimwili pia kuweza kujikwamua na maisha lakini as kama group wote ni wanafunzi malengo yetu nikujishughulisha kuyaanda future zetu hivyo...
1 Reactions
3 Replies
828 Views
Hi, mkuu kwa Sikh kuku mmoja anakula gramu ngapi?? Riltz
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Wanajamii nawasalimieni. Ninauhitaji mku wa sana wa kujua jinsi ya kufungasha maziwa (packaging). Nipo eneo zuri linalozalisha maziwa lakini soko ni baya. Nikifungasha nadhani nifanya biashara na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Naombeni msaada wenu kujuzwa sehemu wanayotoa mkopo, nafanya kazi mama ntilie.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aisee kumbe hata Bilionea na Mmiliki wa Facebook Whatsapp na Instagrama anapenda Ugali Samaki Tanzania Oyeeee
0 Reactions
3 Replies
9K Views
wanabodi, kwa yeyote anayefahamu soko na bei ya dagaa wa chakura cha kuku kwa hapa Dsm anijuze.asanteni
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Chief Olusegun Obasanjo is not only a retired army officer, former head of state and politician, he is also a successful farmer. He owns Ota Farm, which is also called Obasanjo Farms. The large...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom