Wakuu natumai mu wazima.
Ninataka kufanya hii biashara ya kununua matunda kama vile matikiti au mananasi wakati wa msimu kwenye mashamba alafu nitafute eneo la kumwaga. Je kuna mwenye ujuzi wa...
JAMII MEMBERS HELLO,
HABARI ZA MCHANA WANA JAMII. NAPIGA HODI JAMVINI. POLENI NA HONGERENI KWA KAZI YA KUFAIDISHA JAMII.
NAPENDA KUWATANGAZIA KUWA SISI NI KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI. TUNA UZA...
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tutahitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yaani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia...
Wana JF kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi?
Challange zake kubwa ni zipi?
Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo...
Nilitarajia kwenye maonyesho hayo ningeona hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] badala yake nimeambulia kushuhudia vinginevyo na wenye maonyesho yao ambao ni wakulima na hawa bila...
Wananchi wa halmashauri ya Malinyi wameendelea kujiunga kwenye vikundi vya watu 150 ikiwa ni sehemu ya kuitikia wito wa Mkuu wa wilaya hiyo uliowata kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupatiwa...
Wakuu mimi ni kijana mwenye nguvu na nina mke na Mtoto mmoja nafanya kazi katika kampuni moja binafisi ya ulinzi.nimejaribu kukusanya mtaji ili nikafanye kilimo nimeshindwa wandugu kama kuna...
Halmashauri ya wilaya ya Malinyi, chini ya mkurugenzi wake na mkuu wa wilaya hiyo wamedhamiria kuhakikisha wilaya yao inakuwa kitovu cha kilimo cha mpunga, tayari halmashauri hiyo imeanza...
Miaka ya karibuni huku kusini haswa mikoa ya mtwara na lindi kuna mazao huwa wanayategea kwa kuwa na bei mzuri pindi yanapouzwa.
Miongoni mwa mazao hayo ni
-ufuta
-mbazi
-korosho
Bei ya mazao hayo...
Heshima zenu wakuu.
Siku za nyuma nilisikia kuwa kuna maeneo kigamboni wanalima matikiti maji (Watermelon).
Kwa yeyote anayefahamu haya maeneo iwe jirani na DSM au iwe kigamboni kwenyewe ambapo...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, Mheshimiwa Ndimbwa (DED) akifanya ukaguzi wa mashamba ya wakulima yaliyopo kijiji cha Itete wilaya humo.
Halmashauri imeanza kutoa mbegu bure kwa wanakijiji...
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako...
GARLICIDAL-Hii aina ya sumu itokanayo na vitunguu saumu+mafuta ya taa. Chukua v/saumu vikubwa 3, visage/vitwange kisha weka ndan ya mafuta ya taa lita 1 na uviache siku 2 kisha uchuje hayo makapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.