Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Heshima kwenu wadau. nataka nifuge hao kuku wa chotara ila niwanunulie hapa hapa mwanza hizi za kusafirishwa sitaki naogopa kuigizwa town. _asanteni
0 Reactions
12 Replies
5K Views
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
0 Reactions
0 Replies
696 Views
BIG UP for JamiiForums [ Jukwaa la Ujasiriamali & Jukwaa la Ufugaji na Kilimo ] Be blessed Wakuu, tunawasalimu ! Tunapenda kutumia fursa hii kuwakilisha kile tunachoamini ni ‘mpenyo’ kwa wengine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA MKOPO? Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania bila ya kuwepo na ubaguzi wa aina yoyote huduma zetu ni stahiki kwa kila mtanzania ambae ni mjasiriamali,mtumishi wa...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wanajamvi habari za mda huu!! Mimi kwa ufupi ni mhitimu stashahada ya ualimu 2015 .... Wadau baada yakumaliza chuo nimeingia mtaaani nimefundisha tempo nimefanikiwa kupata kiasi cha 1,500,000...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo kwa Mara nyingine. Kumfundisha Kuku tabia inawezekana na ina faida kwa mfugaji. Ntaelezea machache Mimi ninayo yatumia na yanipayo faida Nilianza na Kuku wachache sana ila nilivyo itumia...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu salam Nina project yangu ambayo mali ghafi kuu ni miwa.( sio sukari). Project hii itafanyika Dar ambapo nataka kufungua small scale sugarcane juice ambayo inakua bottled. Hivyo Nahitaji...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Annie Nyaga amefanya kitu ambacho kimebadiisha fikra za watu wengi hasa vijana wa kiafrika,na hii ilikuja baada ya jina lake kuchomoza katika orodha ya vijana mamilionea nchini Kenya wakati huo...
10 Reactions
24 Replies
7K Views
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha upekee wa Hifadhi ya ZIWA MANYARA ambayo : 1.Hifadhi pekee na maarufu sana ambayo Simba wake wanapanda miti. Aina hii ya Simba hupatkan ZIWA MANYARA pekee...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kujua bei za vifaranga wa kuku wa kienyeji chotara kwa umri, kwa mfano; WIKI MOJA, MBILI, MWEZI MMOJA, MIEZI MIWILI etc.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello JF, The other day I posted that I was selling a dog for $2000 and the responses I got,well while some were appreciative others were down sarcastic but most of all misinformed about the dog...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kuna matapeli wanajifanya wana kampuny ya kutengeneza incubator na kuuza na kampuni yenyewe ni pretty development for reduction nimatapeli msijiloge kuwatumia ela na wala msisumbuke kuwatafuta...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii wenzangu najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta wateja wa asali na mafuta ya ubuyu.mimi naishi Dodoma nimeanzisha kampuni yangu nashughulika na ufugaji wa nyuki na zalisha asali...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote muwazima hapa jukwaani, kinyume na hapo ni mipango ya Mungu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina long term plan nyingi kimaisha, lakini hili la kupanda miti...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani wadau naomba kujuzwa hili. Jana katika kutafuta ndege aitwaye kanga ili nianze kufuga, nikakutana na hili; eti ukiwa Malaya kanga hawatagi na watakukimbia???? Nimeambiwa na mfugaji mzoefu...
3 Reactions
36 Replies
16K Views
HEBU CHUKUA KALUKUKETA YAKO, TUFANYE HESABU..!! Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche 1000-1200(elfu moja hadi elfu na mia mbili)-zile mbegu fupi. Tufanye umepanda miche 1,000. Mti...
15 Reactions
55 Replies
14K Views
Msaada jamani kwa anayefahamu maonyesho ya nanenane kwa mwaka huu yatafanyikia wapi kitaifa nahitaji kwenda kujifunza mambo mbalimbali
2 Reactions
2 Replies
2K Views
naombe ushaur kuhusu kilimo cha mboga ruvu mimi ni mgeni hum jf
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua springa kwa ajili ya umwagiliaji busitani yangu ila kila nikiweka kwenye pipe inavujisha maji tu na sio kurusha, tatizo itakuwa nn naomba msaada maana sijawahi kuitumia, naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom