Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Je unaogopa kuambukizwa na ugonjwa wa malaria ? Ikiwa jibu lako ni ndio basi nakupa ushauri nasaha,, Fuga kuku ! Utafiti umebaini kuwa ,harufu ya kuku inaweza kukulinda dhidi ya maambukizi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa mwenye elimu ya kilimo cha tikiti IPI miezi mizuri ya kuanza kilimo icho
0 Reactions
4 Replies
4K Views
jaman wapendwa nataka kulima mpunga huko kahama,,lakn sijui nianzeje kwa gharama kias gan,sjui muda wa kupanda na kuvuna,lbei ya mbegu kwa heka moja.naomba msaada kwa mawasiliano 0769586126
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau, ktk pita pita yangu mashambani nilikutana na kisa hiki ktk picha,baada ya kuwafumania wafugaji jamii ya kimasai wakiwa wameingiza ng'ombe ktk shamba la mkulima ktk kijiji cha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari!narudi tena jukwaani kwa wale ndugu zangu wajasiliamali na wote ambao wana idea juu ya soko la pili pili mbuzi kwa ndani ya nchi na nje ya nchi pia kama itawezekana,kwa yeyote mwenye...
3 Reactions
26 Replies
33K Views
Wakuu nashukuru kwa mada mbalimbali humu jamvin kiukweli nimepata faida nyingi tangu nijiunge hapa. na sasa nimekuwa mkulima mzuri wa zao la tikiti maji ,nimefanya hivi zaidi ya mara mbili na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HII ITAKUSAIDIA NDANI YA MWAKA MMOJA UTAANZA KUISHI BILA KUTEGEMEA MSHAHARA WA MWAJIRI. Tunasema "fire your boss" ....kipato kinapokuwa kidogo au mshahara ukaisha huku mkononi bado umeshikilia...
6 Reactions
25 Replies
11K Views
Za miangaiko ndugu zang Mm ni kijana Nina miaka 21nasoma APA Mosh na nna kaa APA Arusha nataka nianze ufugaj wa kuku APA mkoani Arusha nataka kufaamu wap ntapata kununua kuku namaanisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua Namna ya kutengeneza madini ya mifugo (mineral block) ya kulamba kwa njia ya kienyeji.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari? Ndugu zangu mliopo makazini,mijini au wenye fedha kiasi ambao wanapenda kujishughulisha na shughuli mbalimbali ili wajiongezee kipato. Kuna watu wanafanya kazi hawana muda...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ninashida na kuuliza Dawa ya wadudu nipo ktk shamba la matikiti nahitaji kubadilisha Dawa baada ya Kuona Dawa nitumiayo haina madhara kwani wadudu wana endelea kula niche yangu Sasa nimeadhimia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wadau, Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada kwenu,nyumbani kwangu kuna sisimizi wengi sana, nimejaribu kupulizia dawa,ila bado wanarudi tu, naomba msaada kwa yeyote anayejua dawa ya kuwaangamiza au suluhisho...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani mimi ninakofugia kuku kuna nyani, kuku wangu wanaliwa sana nifanyeje?
2 Reactions
63 Replies
10K Views
Tufundishane
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Habari Wanajf? Kwa yeyote mwenye knowledge ya kilimo cha vitunguu maji tushauriane juu ya namna bora ya kulima zao hili Ningependa kufahamu mambo yafuatayo:- Aina ya udongo Aina ya mbegu Mbolea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimeamua kujiajiri katika kilimo cha mboga mboga, lakini napata changamoto ya maji. Naomba mwenye uelewa na hizi pumpu za maji za ardhini anipe mwanga wa gharama ya pump na pia ina...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Hallo ndugu naomba kujua ili niweze sajiri lasimi kikundi cha wakulima nifanyeje hatua zake, inachukua muda gani, gharama yake hadi kumaliza ni kiasi gani, vitu vya muhimu inavyobidi niandae...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Habar wakuu ..naombeni kufaham maeneo ya kilimo kuanzia mlandiz adi kibaha
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia. Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom