Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa mayai. Na mipango yangu ni kuanza na vifaranga 250.. kwa ambao tayari wana mradi kama huu naomba kujua maelezo zaidi hasa kwenye 1) Bei ya hawa vifaranga 250...
2 Reactions
31 Replies
12K Views
Habari zenu wanajamvi Msaada wa kupata mti wa MMUMUNA hapo ni kwa lugha asili ya kinyamwezi Wajuzi wa miti botanist nataka kujua jina la kitaalamu pamoja na eneo inapopatikana Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Hv kwann wakulima hupangiwa bei wakt wao ndio wazalishaji?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jf jukwaa la mifugo ni dhahir kuwa nchi yetu ni ya tatu kwa wingi wa mifugo africa ikiichwa na Ethopia na Sudan lakin pato lake ni dogo katika uchumi wa nchi hii inatokana kutokufuga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajukwaa nawasalimu. Napenda kufahamu kwa waliokwenda nanenane morogoro kukoje??? Maana nami nataka nijongee huko jumapili nishinde pamoja na jumatatu
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Huwa nasikia nanenane kanda ya mashariki, kati, kaskazini, kanda ya ziwa na kanda ya nyanda za juu kusini lakini zanzibar sijawahi kusikia, ikoje hii?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau. Ni miaka mingi sasa tumekua tukiambiwa na kuaminishwa kua kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu, kauli mbiu nyingi sana tumezisikia kuhusu kilimo na hamasa pia kutoka serikalini...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
SIASA ni KILIMO "Tangu Mwaka 1967 tumekua tukisema kuwa "Kilimo ndicho Uti wa mgongo wa maendeleo yetu". Mwaka 1972 tukatoa mwongozo wa "Siasa ni Kilimo".Mwongozo huo una mambo yote muhimu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajf.naitaji msada wenu kuhusu uwekezaji katika kilimo au ufugaji ni upi unalipa angalau kwa haraka... Kwa mtaji wa 4M. Nipo moshi tafadhali.... Naomba Msaada wa mawazo yenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa kwenye maonyesho ya nanenane hapa Mbeya. Nimejifunza mambo mengi kwenye vitalu vya Jkt nimejifunza kuhusu kilimo cha mboga mbalimbali exotic kama Kandoro, lettuce, turnip na nyingine...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana habari za leo. Kwa wale wafugaji wa ng'ombe na wajuzi wa maziwa, naomba kujulishwa njia nzuri ya kugandisha maziwa ambayo hayatajitenga na maji. Kwa sasa nagandisha maziwa kwa...
1 Reactions
9 Replies
13K Views
wakuu habari nimefikiria kuhusu products za aloevera kama, dawa za mswaki,mafuta na bidhaa nyingine nyingi, naomba kufahamu aloevera inalimwa wapi, kwa upande wangu cjawahi sikia, aloevera...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naombeni wadau nuisaidie solo Nina mchicha mwingi
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Je wewe ni mkulima? Pata elimu juu ya mazao yako kwa kujiunga group la watsup ambalo utapata elimu juu ya mazao yako kwa kuuliza maswali na kupata majibu kutoka kwa watalaamu waliobobea kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi wanajamvi.Hii ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa la ujasilimia mali bt nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa mda mrefu.Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza chuo kikuu k1 huko moro na...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu!! Nimepata habari kwamba kuna biashara ya mahindi huko Sumbawanga, mahindi yananunuliwa vijijini na wanawauzia wakongo!! Kilichonifanya nilete hii thread ni kutaka kujua hali...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji. Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa? Naomba kufahamu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Je naweza lima vitunguu msimu huu na kuvuna bila kuathiriwa na mvua wakari wa uvunaji?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina Shamba la hekari 20 kilosa morogoro nataka kulima mwarobaini Kama mti wa mbao mwenye uelewa karibu tuchangiane mawazo. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnifahamishe, nataka kupulizia dawa ya sulphur katika mikorosho yangu. Ni wastani wa kiasi gani cha sulphur kinatumika kwa mkorosho mmoja? kilo?nusu? robo? nk
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom