Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kuna mbegu za nyanya nimepata kuziskia zikitajwa kwenye kipindi cha television. Mbegu hizi ni Tengeru Mshumaa Je kuna utofauti gani kati ya mbegu izo mbili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Habari. Egg incubators za size mbalimbali zimekuwa zikitumiwa na wafugaji nchini kutotolea vifaranga kwa ajili ya ufugaji binafsi. Ila ni watu wachache tu ndio wamekuwa wakitumia incubator hizi...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu, gharama halisi za uchimbaji wa kisima kwa ajili ya umwagiliaji, yaani kilimo cha umwagiliaji.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wadau, Naomba ushauri. Nlijaribu kulima nyanya zilikua vizuri tu lakini zilipofika stage ya maua na kuanza kuzaa zikapata ugojwa wa Mnyauko. Nlipata ushauri wa dawa mbalimbali lakini...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wanahitajika vijana wawili wenye ujuzi wa uvuvi wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta ya uvuvi. Tuungane katika shuguli ya uvuvi wa dagaa katika ziwa victoria = ujuzi wao ndiyo hisa zao katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Mimi ni muajiriwa Katika serikali, laikini nataka nijikite kweye Kilimo Cha Mpunga huko Turiani mkoani Morogoro, na Kwakuanzia nataka nilime Hekari mbili,. Kiukweli nataka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wana jamvi naombeni msaada wa haraka kwa anae jua vizur magonjwa ya KUKU kwa dall nitazo weka ushauri na tiba za kisasa au kienyeji dalili 1:hana guvu miguu yote na vidore vina jifunga hawez...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Wandugu nataka kufanya biashara ya mahindi, mwenyewe uzoefu naomba anijuze wap naweza pata kwa wingi na bei mimi nipo morogoro.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapiganaji habari za leo ... Nimekuwa kwenye kujaribu kila ushauri niupatao hapa Jf kwenye ujasiriamali na namshukuru Mungu kwamba kuna vitu nimevifanyia kazi vikaleta matokeo chanya. Sina budi...
8 Reactions
45 Replies
13K Views
Habarini waheshimiwa.!! kutokana na watu kuwa bize sana na kazi zao na kushindwa kufanya kilimo japo wanapenda. mimi nimeamua kuwasaidia watu wa namna hiyo, yaani hivi tunakubaliana unataka...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari za mihangaiko wakuu, msaada mwenye uzoefu nataka nianze biashara ya kuchukua mahindi mikoani na kuleta dar kwa ajiri ya kusaga unga na mengine kwa ajiri ya kuuza, sehemu ya kusagia...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf, mimi ni kijana nataka kujikita kwenye suala zima la kilimo,sasa nina shamba langu maeneo ya zombo wilayani kilosa lakini hilo shamba langu lipo mbali na mto.Dhumuni la kuja hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa kuku ni wakubwa na wanaafya lakini hawatagi. Naombeni msaada wakuu.
0 Reactions
17 Replies
46K Views
Ongezeko kubwa la mahitaji ya matunda na mboga limefanya kilimo cha horticulture kukua kwa kwasi na kuwanufaisha wakulima wengi.... Watalam Wa Kilimo hicho wanawaletea Huduma maalum ya kitaalam...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kujua nani anafanya biashara ya uume wa ng'ombe
0 Reactions
3 Replies
4K Views
naulizia jamani kwamba nawezaje kupata kuku chotara ambao nitawafuga kama wa kienyeji ambao ni chotara unawaachia wajitafutie chakula wenyewe mchana lakini usiku na hata mchana natenga pahala pa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
ANAEJUWA IDADI YA MATIKITI YANAYOWEZA KUZALISHWA KWENYE EKARI MOJA ANIJUZE, NA BEI YA JUMLA INAKUWAJE?
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Wadau, mwenye kufaham wapi inapatikana chanjo ya typhod kwa kuku wa mayai. Nimejatibu kuuliza maduka ya mifugo hawana, ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom