Hizi ni zama za sumu ambapo bidhaa za
kawaida zinazotumiwa majumbani zinaweza kutuua.Ni zama ambazo wafanyibiashara wametushawishi kwamba bidhaa nyingi za tunazotumia kila siku kama...
Habari wakuu, samahani nataka kufuga kuku wa mayai 200, hivyo naomba msaada ni wapi naweza pata vifaranga. Na je ni aina gani ya vifaranga wazuri. Mimi naishi Boko Dsm.
Natanguluza shukrani .
Jamani kuna jamaa yangu anaangaika na jinsi ya kupata vifaranga bora visivyosumbua. Yeye amekuwa akinunua vifaranga toka sehemu makampuni mabli mbali lakini mara zote ( kama 3 hivi) ama vinakufa...
Ndugu wanajamvi, Nimepata Ardhi maeneo ya Mkuranga juction ya kuelekea Mkuranga mjini ukipitia njia ya Fremu Kumi Kivule, Nataka kufanya kilimo maeneo yale lakini changamoto kubwa, ni kwamba eneo...
Kama kichwa cha habari kinavyosema wilayani Ruangwa Mkoani Lindi.
zao la mbaazi lashuka bei kutoka sh.1400
Hadi kufikia sh 700 kwa kg1.
Habari mbaya kwa sisi Wakulima.
Habarini wadau,
Naombeni utalaamu kidogo kwenye suala zima la kilimo cha tikiti. Huwa inashauriwa sana pindi matunda yanapotoka kuacha matunda matatu tu ili yaweze kua makubwa na yauzike vizuri...
Habarini wadau
Nimejaribu kutafuta sources za hii kitu kwa wakulima wa tanzania lkn naona taarifa ni hafifu sana, nataka kufanya lakini nikusanye taarifa kwanza, naombeni mawazo yenu kwa wazoefu...
Mara nyingi unapotaka kumuachisha kuku vifaranga au unapotaka kuchukua mayai ya kuku anaejiandaa kutamia kuku huwa mgumu kusahau na huendelea kulalia ingawa umemuondolea mayai. Sasa chukua ndoo...
Habari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini...
Habar wadau mimi ni mdau mkubwa wa kilimo na mifugo na niko mbioni kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji ila nimevutiwa na kuku wa kienyeji wenye asili ya India wanaitwa kroiler. Sasa naomba kwa...
Habari wanajamii forum?
Naombeni msaada kujua namna ya ufugaji wa kuku wa nyama. Nikiwa namaanisha vyakula wanavyotakiwa kula kwa kila stage, chanjo pamoja na madawa..ahsanteni.
MBINU ZA KUKINGA KUKU DHIDI YA MAGONJWA
Tunafahamu kwamba magonjwa ndio chanzo kikubwa cha kukatisha ndoto za mfugaji kutokana na ughali wa bei za dawa au vifo vinavyosababishwa na magonjwa hayo...
Wakuu Tikiti linenitia hasara ya jumla ya mil 1.4.
Yaani Nigel hudumia sana lakini mwishowe limeniumiza sasa nalima Bamia so naomba kujua Soko la Bamia na ushauri tafadhari
Nimemaliza karibuni...
Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza chuo mwaka jana (2015), nimetafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa...
Habari , kama kichwa cha habari kinavyojieleza , tuanza kutoa semina ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kuanzia tarehe 1/10/2016 Jumamosi sehemu ni dodoma mitimirefu kwanzia saa 10:00AM asubuhi hadi...
Wakuu;
Niko katika ajira mwaka wa nne sasa tangu nimalize shule. Gross Pay yangu ni 3.5 milioni plus. Lakini nikiangalia mbele i dont see my self being rich kwa kuendelea na maisha haya ya...
Jamani habarini wanajamvi hivi kwa nchi kubwa kama Tanzania inakuwaje tunashindwa kutafuta njia rahisi za kukuabiliana na magonjwa ya mifugo hasa kuku kwani kinga na dawa za kuku kwa maeneO hasa...
HAYA nnao vifaranga 6 wa kienyeji wenye chanjo ya mdondo na gombola hawana ugonjwa wowote, jumanne wanafksha wk ya 4 kila kfaranga elf 5, mama yao elf 15. na siyo mzee huu ni uzao wake wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.