Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa,yaani baadhi ya sehem kichwani wanakua kama wanamadonda,salsa sijui dawa gani nitumie
1 Reactions
0 Replies
695 Views
kama ionekanavyo picha. Naomba kujua huo ni ugonjwa gani? Umeharibu shamba zima. Nawaza kuyakata ili nilishe ng'ombe ili humo nipande mahindi mengine. Kitu gani nifanye ili ugonjwa usijirudie...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna shida ya chakula duniani na wataalamu wanajaribu kushinda hiyo vita kwa kutumia tekinolojia inayoaminika kuwa itafanya vyakula viwe vingi na uzalishaji wake uwe mwingi. Je Africa kama bara...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala. Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu...
2 Reactions
64 Replies
11K Views
habari wana JF. ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania. Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari wadau, Napenda kujua vitunguu maji vinakomaa kwa siku ngapi?
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Awali ya yote kabla ya serikali kusitsha upigaji chapa kwa Mifugo Halmshauri ya mvomero ilishafanya zoezi hilo kwa asilimia fulani na walikusanya fedha za kutosha na walidai ni gharama za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi poleni na harakati za kujikwamua na mbinyo wa maisha. Nawasilisha kwenu yeyote au kama una kijana aliye serious na kilimo na Ufugaji basi ani PM. Eneo la shughuli hii ni Mkuranga miundo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza tilapia fresh kutoka mwanza kwa order, per week naweza supply 150 kg, na dagaa wasafi kutoka mwanza, samaki waliokaushwa kwa chumvi au moshi kwenda mikoani
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye utaalam au uzoefu na hiki kilimo naomba msaada.. Ili kujua namna ya kulima, soko na faida zake. Nina heka moja nataka kupanda tu miti ya maparachichi kwa kisasa..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Kwa wajasiriamali wenzangu walioko Dar na maeneo jirani, karibuni kujifunza Biashara, Kilimo na Ufugaji kupitia group letu la Whatsapp.Kuna kuhusu upatikanani wa Mashamba na Msimu upi haswa...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
mwenye idea/ wazo/ uzoefu na mabanda ya kuku.... Nataka kujenga banda la kuku 100 ila sina idea kabisaa... Plz guys help me on
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Jamani nina ndugu yangu ana magunia mengi ya vitunguu almost 300 ametunza store. Tunaomba anayejua soko zuri la vitunguu nje ya nchi mfano commoro na kwa ndani kama Zanzibar...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
naomba kuuliza taratibu za chanjo kwa kuku wa kienyeji,nafahamu kuna newcastle gumboro na antibiotics zingine ammprollium,otc 20,vitalyte,esb lakini mpangilio wa hizi chanjo mbili siuelewi nawapa...
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Habari, Nina shamba nimelima vitunguu specific kwa kuuza majani yake. Tafadhali naomba msaada wa soko lake la uhakika. Kwa sasa iliyo tayari ni nusu Heka... Shamba lipo Rudewa-Kilosa. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua bei ya mbolea kwa jumla Dar UREA na SA 50kgs.
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Natumai mmeamka salama. Naomba msaada tafadhali, Kama kuna mtu anayefaham kikundi/vikundi vya wakulima wa Vanilla (associantions/AMCOS) katika mikoa ya Morogoro wilaya yoyote, Mkoa wa Mbeya na...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza kuku Broiler, uzito kg 1.4, bei 5,500 Wapo 500, wanapatikana Dar es salam, Boko magengeni Simu 0656646495 Karibuni
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom