Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini? Pia shipping cost ya machine...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu herini ya xmas na mwaka mpya. Kama mada inavyojieleza ninauza duka la nguo za watoto lenye thamani ya tsh 5.4m kwa tsh 3.5m. Duka lipo zunguni mtaa wa shabiby na ni duka pekee la watoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
GRACO baby stroller na feeding seat zipo kwenye hali nzuri zipo dodoma. call 0718845732
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Jabari wana JF Niko USA nataka kujua belo la mtumba wa viatu au jeans bei gani ? na je hii biashara inalipa ?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau nauza bata wamebaki 14,madume yapo 6 bei 30000,na majike yapo 8 bei 25000,wameshaanz na kutaga kabisa,
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu jamvini, naomba msaada ikiwa miongoni mwetu kuna anayefahamu wapi naweza kupata aina hizi mbili za bata.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna upotoshaji wa kutosha katika neno ujasiriamali kwa kuwa watu awajui maana kamili ya neno ujasiriamali imepelekea kushindwa kufikisha ujumbe neno ujasiriamali ni imani katika biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Nauza vifaa vya kupikia na kuuzia chips. Viko complete unaweza kuendelea kutumia. Majiko mawili (la kuchemshia na la kukaangia/kuchoma mishkaki), aluminium show case (size ya...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau nina shamba eka 100 Nyanzwa likiwa limepakana kabisa na mto Ruaha. Ninakodisha eka 60 ambazo tayari nilishalima miaka miwili iliyopita. Nakodisha kila eka laki mbili na nusu 250,000...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa yamebaki masaa machache sana Hebu kila mtu aweke mpango kazi wake wa Mwakani hapa! ili wale ambao hawajandaa wajifunze toka kwenu. Iwe ni Mwajiriwa au yeyote yule ni lazma tuwe na vitega...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya vifaranga, na mayai ya kuku chotara tuwasiliane hapa... 0682169798.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo ? Naomba mwenye kujua faida au hasara za maxmalipo anijuze, Nahitaji kuanzisha biashara ya M- Pesa, Airtel Money, tigo pesa na luku Je nikitumia maxmalipo naweza pata faida...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari #TeamJamiiforums. Nilikua naomba msaada nijue jinsi ya kuwa wakala wa MAXMALIPO. Nataka nijue sifa,vigezo na mashariti ya kuweza kufanya hiyo huduma katika jamii yangu. Pia nijue na kiasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi zinapaswa kupitiwa ili wanakikundi wawezi kukisajili Kikundi chao na kiweze kutambulika kisheria. Nipo na wakulima wenzangu kama wa 5 hivi. Asante.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wana JF, Baada ya kukamilisha Usajili wa Kampuni yangu (Advertising Agency) na vitu vingine muhimu k.v. Memorandum, Business Plan, Marketing Proposal, Portfolio, Stationeries & Branding...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Duka linauzwa liko Mwanza, wilaya ya Ilemela-Buswelu, mtaa wa Buhilya. Ni duka la kawaida la bidhaa za rejareja, liko site nzuri kiasi kwani wastani wa mauzo kwa siku ni laki 2 hadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni wa mayai wameshamaliza miezi 6 na bado hawajaanza kutaga...wanamaliza chakula tu.Nini kifanyike waanze kutaga!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF, nimeona nishee nanyi mawazo haya ambayo wengi wetu hatuyapi mkazo na badae tunakwama na kuhaha. Kama wataka kufanikiwa katika uwekezaji wako na biashara hebu pitia haya...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Heshima mbele! Kichwa cha habari kinajieleza. Mimi ni mjasiriamali wa kuzaliwa yaani ipo kwenye damu. Kwa sasa kuna mradi naifanyia kazi natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza website, graphic...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom