Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari wajasiriamali,kama ulikuwa unampango wa kuwafanya bishara ya jumla ya vinywaji (bia) na huna creti za kutosha,sasa waweza kuwasiliana nami kwa manunuzi ya creti hizo. Tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF wote,Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mjasiliamali natamani kufuga kuku wa kisasa na kienyeji kwa ajili ya biashara. Naomba ushauri au msaada wa kupata namba ya simu ya group ya...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Hey JF naomba kueleweshwa about biashara ya MAX MALIPO?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau..naitwa neema ni mwanamke ambaye kwa sasa nataka kijishuhulisha kwa kilimo nimebahatika kununua shamba maeneo ya kibaha ..naombeni ushauri wenu wadau je kwa huu mwezi january naweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello JF Well over the past holiday (x-mass & new year) nilipata chance ya kuzungumza na moja ya alie kua potential figure katika nchi yetu ila baada ya kustaafu sasa anajishughulisha na biashara...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Jike laki, dume 90. 0682169798 DSM!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa anayehitaj huduma ya malazi arusha. Ninatoa huduma ya malazi arusha maeneo ya mbauda kituo cha buchadi. Vyumba vyote ni self contained,kitanda cha kisasa cha chuma,hetal ya maji moto kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta korosho ambazo zina quality nzuri (grade A). Nataka ambazo nitazirost mwenyewe. Nahitaki kg 10 kwa leo leo. Naomba msaada. Nipo dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye pad za ps 2 kuna mtu anaziitaji haraka. Anasema ziwe za mtumba . Ni pm kama unazo. Wa dar na moro.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta korosho ambazo zina quality nzuri. Nataka ambazo nitazirost mwenyewe. Nahitaki kg 10 kwa leo leo. Naomba msaada. Nipo dar
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE. 0682169798 DSM!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakubwa naomba kwa anayejua kuhusu selcom anipe no zake nataka kupata Maelezo kidogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Natumaini mnaendelea salama,mimi n mwanamke ambaye nimebahatika kuwa na shamba langu Kibaha sasa nilikuwa nataka kulima. Je kwa mwezi huu wa january naweza lima zao gan? Maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anatafutwaa Mdada mzuri wa barbershop....iko Ubungo near stand ya mkoaaa.... Call 0752-109265 kwa Maelezo zaidi.....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"There are two primary choices in life: to accept conditions as they exist, or accept the responsibility for changing them." – Denis Waitley Katika maisha, mazingiara, biashara n.k kuna mambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello people Msaada wa ushauri pls nimekuja na palm oil sample kutoka far East Asia na nintaka ku import kwa kiasi kikubwa, ni hatua gani ninapaswa kuzifata ili kupata kibali cha kuingiza kwa kua...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Amazing Things That Will Happen To You, If You Join The Team Now. Green World Distributor. It's as simple as this........Green World Distributor. Distributors get rewarded for the right behavior...
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia yenyemakao makuu Masaki pangani street.tunauza virutubisho vya kupunguza unene,tumbo na kitambi.vimethibitishwa na TFDA kua havina madhara. Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wowote wa kuuza aluminium ikiwa pamoja na uzalishaji wa bidhaa zake kama madirisha, milango, meza, viti nk. Anishauri ili nijitupie humo kwenye hii mambo. Niko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom