Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Naomba ushauri kwa mtu yeyoye ambaye anajua biashara au mradi ambao unaweza kuingiza kipato kwa muda mfupi (mwezi mmoja mpaka 6) pasipo uhusika wa moja kwa moja (direct involvement). Gharama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipeni ushauri
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba mniambie ni kipindi gani kizuri cha kulima matikiti katika mkoa wa morogoro kwa maana nataka kuanza kulima lakini sijui muda wake mzuri ni upi.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hi wanaJF naomba anaelewa bei ya vifaa vya kisasa vya saluni ya anipe mtiririko nataka mke wangu asikae nyumbani akatafute na yeye sababu ana uchungu na maisha bora.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Nikiwa kama kijana niliyeamua kujiajiri mwenyewe kwa mtindo wa kipekee wa kuzifuata fursa. Nimekuja jamvini ili nipate kujua RATIBA ZA MINADA HASA MAENEO YA PWANI kwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wakuu Kuna dogo mmoja nataka kumuwezesha apate fweza kidogo ya kujikimu. Nataka kumsaidia afanye biashara ya ku-refill wino wa printers na photocopy machines hapo kwetu Songea mjini. Ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Katika kuperuzi mitandaoni nikaona kuna mabanda ya kisasa yanayoitwa chicken cages ambayo mayai hujikusanya yenyewe na kuyasafisha ni kazi rahisi. Naomba msaada ni wapi wa...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Kwa mkazi wa Dar kwenye jua kali na uhaba mkubwa wa maji jaribu kutumia njia hii kuotesha miti kwenye eneo lako. Chupa za maji ya AZAM LT 12 wanauza kati ya 2800 hadi 4000. Ukishayanywa maji...
15 Reactions
17 Replies
4K Views
Pata viwanja vilivyopimwa Mailimoja Kibaha 3 Kilometa kutoka barabara kuu ya morogoro. Vipo eneo la kilimahewa njia ya pangani. Vimezungukwa na umeme, maji, barabara. 1square meter = 9500...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana niliye chuo kikuu,baba yangu amenikatia eneo la eka 3 maeneo ya msata 100m kutok barabaran Naomba ushauri wenu ni kilimo gani kinafaa maeneo hayo na ushauri wowote una...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanabodi naomba mnishauri. Jana nilikuwa Kata ya Mwavi katika kijiji cha Mkenge wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Lengo la mimi kwenda kwenye eneo hilo ni kutaka kununua shamba la heka 15 kwaajili...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Miezi michache iliyopita nilitaka mkopo kwenye kitaasisi hiki ambacho kiko sinza kijiweni karibu na Delux, maelezo niliyotoa mwanzo na aina yangu ya biashara yalitosha kabisa kuni disqualify...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba ushauri zaidi, nna Tsh 5,000,000/= nataka kufanya biashara za simu za mkononi za bei nafuu kuanzia Tsh 30,000/= hadi 60,000/=kwa kuzinunua Kariakoo na kuziuza mtaani. Aidha sanjari na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wana JF nataka kufanya biashara ya kuuza mchele kwa jumla kutoka mikoani kuja dar, yoyote mwenye uzoefu na biashara hii mawazo yake ni muhimu sana kwangu.
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Habari wana JF, Kheri ya mwaka mpya wana jukwaa pendwa lenye maendeleo kwa kila anayepita hapa. Mwaka huu nimedhamiria kufungua duka/fremu la vitu vya kila aina kwa jinsi zote( ke/me), lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natahitaji kufungua saloon ya kiume Arusha ya kawaida tu '' ECONOMY SALOON'' naomba ambaye anaweza kuniatia break down ya budget shilingi ngapi nitahitaji kuwa nazo ili saloon ifanye kazi kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile..... (a ) miti iliyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarin Wakuu,Mim ni mkazi wa Msoma mjini,nataka kuanza biashara ya kuku wa kienyeji niwe naleta hapa msoma mjin nakuwauzia wachuuzi,napenda kujua kwa wenyeji wa Msoma,ni vijiji Gan vya karib...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unasehemu ya biashara kubwa au ndogo au rafiki yako, Jajojo natamani tufanye biashara pamoja. Tutakuletea unga wa Jajojo from 1kg, 5kg, 10kg, 25kg kwa bei ya jumla au rejareja. Napenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom