Wandugu habari za uskiku leo naomba nisisitize wakati tunaingia mwaka mwingine kwa wale wajasiriamali napenda niwahamasishe kuwa tafadhali jitahidi kuweka kumbukumbu zako za biashara vyema ili...
Habari? Kuna jamaa kaniambia jana kuwa ukifanya kilimo cha nyanya kwa kutumia greenhouse ukifungiwa na hawa jamaa wa balton Tanzania.
Wewe utakua hufanyi kazi yoyote zaidi ya kuchuma nyanya na...
Natumaini Wajasirimali mnaendelea vyema humu ndani, ni long time sana, na naamini mwaka mpya huu Wajasirimali mmejipanga kupiga hatua kadhaa mbele katika kutimiza ndoto au plan.Mimi nipo bado...
COMBINE HARVESTER INAUNZWA
tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwashuhudia ndugu, jamaa na marafiki zangu wakisifia biashara ya mayai ya kware.
Kwamba inalipa na pia hata mahitaji ya kuwatunza kware sio gharama kubwa, hivyo...
** TEEP 2016 - 2nd ANNUAL TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME
ROUND LAUNCHES 1ST JANUARY 2016
Dear
A year ago today, we announced the Tony Elumelu Entrepreneurship
Programme (TEEP) to the...
Kuna wakati tunahitaji kutumia fikra huru na zilizoerevuka, kama unafuga ng'ombe kwa ajili ya kupata maziwa na uwezo wako ni kunywa glasi mbili tu na tena si kwa kila siku kitu ambacho unaweza...
Wana JF, Salaam.
Ninatafuta kuku wazuri wa kienyeji wa kufuga, nahitaji majike 10 na jogoo mmoja. Ninataka kwa ajili ya kufuga nyumbani, hao ndo watakuwa kama wazazi then watazaliana!! Mwenye nao...
Wakuu nahitaji msaada wa kujua anwani (address) ya watengenezaji wa sabuni ya Unga ya Nice One kwa maana ya mahali walipo na namna naweza kuwasiliana nao.
Natanguliza shukrani
Rais Mh Magufuli akisoma bango toka kwa kina mama Arusha wakiomba awafikirie katika suala zima la kupewa mikopo kwa ajili ya ujasiriamali. Tunamwomba Mh JPM awafikirie mama zetu,dada zetu, wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.