Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari wadau. Naomba niulize kati ya kampuni hizi mbili yaani Selcom na Max malipo, ni ipi ina commission nzuri katika miamala yake? Na je zote zinafanya kazi sawa au kuna moja inazidi mwenzake?
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Bilionea wa kibongo kupitia taasisi yake pamoja na kampuni binafsi inaitwa Darecha Ltd(micro venture capital firm) wameanzisha shindano la idea za biashara kutoka kwa kampuni/sole traders...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari wataalam, nina kuku naisi kawa kipofu gafla ila ana vidonda vyovyote kwenye macho sijui ugonjwa gan umemkuta na mm sio mtaalam kabsa haya mambo, naombeni msaada wa haraka maana kuku...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Habarini wajasiriamali. Niende Kwenye mada Kabisa. Mimi ni mwalimu kijana Mdogo, Na ni Mchanga Katika kazi ambaye sijatimiza Hata mwaka Mmoja kazini hapa Bagamoyo. Pamoja na majukumu na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
DEO AGRO COMPANY Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
NIMELIMA MATIKITI HEKA 3 NATAFUTA WATEJA WA JUMLA ANAYEHITAJI ANICHEKI NO 0657723172
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani msione vyaelea, kuna njia rahisi ya kuwafanya kuku au ndege wako waonekane wamenenepa, ila ukishikwa juu yako. Hii hila ni kutoka nchi fulani
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Heshima kwenu wanandugu Nina shamba nataka nioteshe yale maembe na mapapai ya kisasa yanayozaa yakiwa chini kabisa ila naomba kufahamu 1~Ukubwa wa mashimo 2 aina ya mbolea ya kuoteshea 3Huzaa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naomba kuuliza juu ya kilimo cha karoti,strawbelly na pilipili hoho. Niko Iringa, naomba msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum! Mimi ni Mkulima na Mfugaji wa Kuku. Sasa mazao yangu ya kuku pamoja na Matunda yapo tayari ,natafuta soko. Matunda nina Ekari Tano Approx Matunda 15,000 na...
4 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndugu wananchi, Ufugaji wa kuku ni biashara kubwa ambayo imewatajirisha wafugaji na wengi wao sasa ni matajiri wa kutupwa. Kwa mtu yeyote anayetaka kutajirika kupitia ufugaji wa kuku, naomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hawa jamaa wamevamia kijijini kwetu, ni maafa, dawa ake ni nini
0 Reactions
5 Replies
4K Views
528 Eggs full automatic available in Dar. Price TZS 2,000,000. Contact 0785670038
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Heshima mbele wadau. Naona kuna vijana wengi waliosomea kilimo na biashara wanahangaika kutafuta kazi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nimeamua kuanzisha kazi ya kilimo mchanganyiko cha mboga...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini wadau. Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje. Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu, ninauza magunia. yanafaa kuwekea vitunguu, vitunguu saum n.k bei ni sh. 2500@ karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Liko Tabata segerea.. linachukua kuku 400 wa nyama ... au kuku 200 wa mayai.. limetengenezwa kwa ghorofa 4 kwa utaalamu wa hali ya juu kwa kutumia vipande vyepesi vya mbao na nyavu... Mwenye nalo...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Habari wadau kwa wanaohitaji kuku wa kienyeji dar wapo 40 mitetea wakubwa kabisa wanataga majogoo 10 kwa sasa bei ni 14000 kila mmoja aliye serious anicheki hapa 0674522382 karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wapendwa. Napenda kuwataarifu kuhusu Mafunzo ya ujasiriamali kwa wakazi wa mkoa wa DODOMA Darasa litahusika na mafunzo ya kutengeneza sabuni za mche, sabuni za unga, sabuni za maji na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
USIFANYE BIASHARA KAMA HUNA YAFUATAYO. Sipendi kukuambia nini usifanye, kwa sababu ni hasi. Napenda kukuambia ni nini ufanye, ili iwe rahisi kwako kufuata vizuri. Msisitizo unahitajika zaidi ili...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom