Wizara ya Kilimo,Mifugo na uvuvi imeahidi kuichukua changamoto ya Magadi Chumvi kwenye mashamba ya mpunga kuwa tatizo la kitaifa linalotakiwa kuingizwa kwenye mipango na sera za kitaifa na...
Wakuu,
Naomba mnijuze kwa mnavyofahamu kuku chotara maana huwa nasikia tu ila sijawahi kuwaona.Naomba msaada juu ya ufugaji wake, chakula chake je wanakula chakula gani , utagaji wake, bei ya...
Ndugu watanzania na serikali yetu kwa ujumla,
Mwaka jana kuliibuka ugonjwa ulioathiri baadhi ya mazao sehemu mbali mbali mbali nchini( Arusha Morogoro, Tanga, Iringa na njombe) na uliathiri zaidi...
Habari za asubuhi wanajamvi, naamini wote ni wazima na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki ya siku. Bila kupoteza muda napenda kuingia moja kwa moja kwenye dhumuni la bandiko...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mpenda mabadiliko ambaye nimeamua kugeukia sekta ya kilimo na kujaribu kuwekeza humo.
Nimeanza mwaka huu kwa kupanda Mahindi na Soya kwa kilimo cha kisasa lakini...
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ila natamani nifanye ufugaji huko Mwanza nyumbani ni Bugarika. Nauliza kwa laki na nusu naweza kufuga kuku wa aina ipi na nitapata faida gani, msaada jamani?!
Kuna aina mpya ya ndizi inayoitwa FHIA Ambayo inazaa sana na inahimili maradhi imeanza kulimwa mkoa wa Kagera.Ndizi hii mpya inaweza kupunguza umasikini na kuwa na uhakika wa chakula.Nashauri...
Habari wanJF, ni kwel natafuta mtaalam wa kilimo nifanye nae kazi ya online, ataniandikia magonjwa yote ya mimea na solutions zake pamoja na madawa yake. Na uwe kwel mtaalam na sio magumashi, na...
Habari wataalam wa kilimo bora, ufugaji na uvuvi, naomba kufahamishwa ni vipimo vipi ni sahihi kwa ujenzi wa mabanda ya ufugaji wa kuku. Lengo langu ni kufuga kuku 2000, aina ya kuku ni kuroiler...
Nataka nianzishe biashara ya samaki kutoka kanda ya ziwa kuja Arusha na Kilimanjaro, naomba msaada wa njia za kusafirisha samaki bila kuharibika kwani mtaji wangu ni mdogo bado sijaweza kumiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.