Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari za majukumu wapendwa! Nahitaji kupata ushauri wenu wa kimawazo nimenunua eneo dogo tu lenye urefu wa mita 54 na upana wa mita 24 nahitaji kufanya kilimo cha kisasa cha mbogamboga au...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Wanajukwaa! Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani huyu Msela anavua kwa kutumia nn hapo? Binafsi nimeshindwa kuelewa!!!!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habar za jioni! nahitaji msaada wa dharura kwa wenye uzoefu. Naomba kujulishwa ni aina gani ya kiuatilifu naweza tumia kupalili mahindi ambacho kinaangamiza ndago na nyasi?, nilitumia 2,4 D...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
30,000MT of Red Kidney Beans needed. Is there any Seller out there? PM with price and terms of sale
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia kuwezesha Sekta ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu naombeni mnisaidie utaratibu wa kuweza kupata trademark ya logo yangu pale Brela.kwa mtu yeyote anaweza kuniambia procedure za kupata trademark maana nimeenda brela naona wananizingua tu
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji kujua njia ya kisasa au yoyote ile ya kutunza maziwa Fresh ya ng'ombe kienyeji bila kuharibika. msaada tafadhali
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, naomba kupata muuongozo juu ya swala lifuatalo, shambani kwangu nimefunga mfumo wa umwagiliaji kwenye hekari moja na makusudio yangu ilikuwa ni kupanda tikitimaji ila niliingia...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi Habari za mihangaiko ya kupambana na maisha. Naomba msaada wa taarifa ninapoweza kupata drippers kwa ajili ya Kilimo cha bustani eneo la ekari mbili
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Siku,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza simu.
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia , Contact za mwenyeji yoyote kule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naombeni mnipe mustakabali naitaji kufanya ujasiriamali wa kilimo , Ruvu ni sehemu watu wanalima sana hasa hizi mboga mboga na matikikti je kuna mtu anaweza nipa contact za mwenyeji mmoja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello... Khabar zenu wapendwa.. Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Ninaomba mtu anayejua kuhusu hili zao anipe details zote kuhusu ili zao kama misimu capital faida challenges na kama eneo la Ruvu linafaa kwa hiki kilimo, madawa n.k kwasababu ningependa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana JF; Habari ya asubuhi kama ilivyo heading hapo juu; mimi ni mfugaji wa samaki kwa kutumia ndimbwi la samaki hapa nyumbani; kwa bahati mbaya kwenye dimbwi hilo la samaki vyura wameingia na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, Salaam, Naomba msaada wa jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. Mimi nipo Dar Es Salaam, natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Moja ya kitu kinachohitajika sana na wakazi wa mijini na vijijini ni mboga za majani (green vegetables) kama chinese, figili, mchicha, mnafu, mboga za maboga, matembele nk. Mboga za majani...
5 Reactions
5 Replies
28K Views
Back
Top Bottom