Ndugu habari za mihangaiko..
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo.
Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na...
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri...
Habari wanajukwaa,naomba kuuliza kwa yeyote anaejua upatikanaji wa maharage ya kijani (french beans/green beans) hapo bongo.hapa nilipo nayaona yanakuja kutoka kenya,hivyo nahisi hata bongo...
Nimefanikiwa kupata kianzio cha vifaranga vya kuku wa kienyeji ambao nimewakusanya kutoka sehemu tofauti tofauti. Shida yangu ni moja tu muongozo wa jinsi ya kuwafanya wakue vizuri. Nina banda...
Habarin ndugu zangu me ni mfanya biashara nafanya biashara ya nafaka na kukufikia popote ulipo na pia kwa ushaur wa biashara ya nafaka pls contact me thru +255719553454/ +255787607207 /...
Nataka nilime mboga mboga nnje kidogo ya jiji la Dar es salaam kisha soko liwe maeneo ya Dar, kwa wazoefu naomba ushauli na maelezo juu ya kilimo hiki cha mboga kama mchicha, chainizi, na majani...
Hellow JF members,Mimi ni mwajiriwa wa kampuni binafsi..kiukweli nimejibana bana hadi nimenunua shamba (Ingawa ni dogo) heka 2,plan yangu ni kulima mahindi na kufuga kuku wa kienyeji,hivyo...
siku chache zilizopita nilienda pale Balton (njia ya Coca cola Dar) kufuatilia agricultural inputs mbalimbali, bahati nzuri nilikutana na mzee mmoja ambaye tuliongea mengi sana. Mojawapo ya kssue...
Mkuu, mambo vipi?
Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao.
Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo.
1)Acrocarpus
(2)Casuarina spp
(3)Cedrela...
Wadau za wikiend?
Nina shida naomba msaada wenu please,
Hivi karibuni nimeamua nami kufuga kuku hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya kujiongezea kipato pia hata kula nyumbani. Kwa kua ndio mara...
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?!
Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu...
Wakuu, heshima kwenu na Heri ya Mwaka Mpya!
Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tunakwama katika jitihada zetu za kutaka kujikwamua kupitia Ujasiriamali hususani katika shughuli za Kilimo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.