Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Si kazi ya wanawake tu kama ilivyozoeleka hapo awali, bali ni kwa msaka pesa yeyote aliye serious na kazi yake. Nilihudhuria mara kadhaa ktk semina za fani hiyo pamoja na vinginevyo, na baada ya...
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Poleni na mapambano na mikikimiki ya uzalishaji kama ilivyo utamaduni wa wanajukuaa hili( ijapokua kule Japan mtu anayapambana haambiwi pole bali anaambiwa pambana au kazana) Naomba kujulishwa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Ndugu wanajamii, nimeshawishiwa mara nyingi na rfiki zangu ili niingie kwenye biashara ya forever living lakini kila nikijaribu kufanya uchunguzi sipati picha kati ya namna biashara inavyoendeshwa...
1 Reactions
24 Replies
19K Views
Naomba kwa anayejua anifahamishe! Uwa wananza kutaga kwa muda gani.. Na kuku mmoja anataga mayai mangapi kwa siku!... Pia kuhusu chanjo zao dhidi ya magonjwa!.. Msaada wana JF.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za Leo wanabodi? Ninaamini JF ni kisima cha utaalam. Ninaomba kueleweshwa namna ya kuanzisha kilimo cha greenhouse. Pia gharama zake, upatikanaji wa vifaa na pembejeo kwa hapa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa jins gan ya kulima maind
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mnaofahamu hatua za kufuata ktk kupimisha ardhi mnijuze kwani nina ekali 6 za shamba nahitaji zipimwe. Kama mnafahamu gharama zake pia nijuzeni.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habarini wana Jf, Napenda kuwakribisha watu wote ambao wanahitaji kupimiwa viwanja vyao kwa gharama nafuu ili kuongeza thamani ya viwanja vyao, kwa yeyote aliye atakaye hitaji tafadhali aniPM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba mdau anaejua naweza pata wapi aina hiyo ya mbegu anijulishe tafadhali,, mimi niko mbeya. Aksante
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wana jamvi, Hebu tulitazame na tulijadili jambo hili, mwaka huu nilifanikiwa kulima kama eka 2 za mpunga, na nimefanikiwa kuvuna gunia zangu 50. Sasa wakati nasafirisha mazao yangu hayo kutoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wafugaji, natafuta mbegu ya kuku aina ya RHODE ISLAND RED kama ni wewe au unamfahamu mtu anauza vifaranga vyake naomba msaada. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji mwakani ntakapo maliza elimu yangu. Je naanzaje anzaje na mtaji upi unahitajika katika kufuga kuku wa kienyeji pia malezi yao yanakuaje
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba mwenye uzoefu na ufugaji wa samaki naomba anipe ushauri nini cha kufanya !! Thanks
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu,naomba msaada ya mtaalamu wa ufugaji kuku wa kienyeji aina ya kuchi,gharama na bei yake sokoni
1 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari wanaJF, Naomba mwenye experience na usafirishaji wa mazao kwa kukodi gari ni shiling ngapi mfano toka Morogoro kwenda Dar? Na pia inawezekana kusafirisha mazao kama matikiti fuso nzima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NJIA YA KUWA NA MAISHA BORA Njia moja ya uhakika ya kuwa na maisha bora ni kuyaelewa maisha kwanza. Bila ya kufanya hivyo utateseka sana na maisha haya. Bila ya kuelewa maisha kila mara utasema...
5 Reactions
11 Replies
7K Views
Wana JF kama unahitaji dagaa wa chakula cha kuku tuwasiliane 0713563074. Asante
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli. Hata kuku...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Habar ndugu wana jamii, Naombeni mawazo yenu nahtaj kuanza kilimo cha matikiti maji kule mikese Morogoro, mwezi huu wa sita! Nifanye nini ili niweze kufanikisha malengo yangu Msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tips to getting more eggs from your chickens So you think your chicken aren’t laying well? Maybe they’re not. Laying eggs is a daylight sensitive business. Commercial egg production uses...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom