Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari ndg wanajamiiforum, Nani anapajua Kitomindo vizuri? Na je mazao gani yanastawi maeneo yale kando mto Ruvu? Mwenye idea anieleze jamani nimechoka kukaa town naangaika na ajira za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mashirika yaliyochini ya mwamvuli wa mtandao wa AgriProFocus, yanaandaa Jukwaa la vijana lenye lengo ya kuhamashisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara kwa kuwakutanisha na fursa mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Za asubuhi ndugu zangu, natumaini mmeamka salama, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo nahisi ndo kitu ambacho kitanifanya nifikie malengo yangu, nimeajiriwa lakini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kilimo Cha Tikiti. Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group. Kumbuka ada...
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Wakuu habari Kwa anaehitaji shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoani iringa wilaya ya mufindi mashamba yapo yanapatikana kwa bei 130000 mpaka 120000 kwa ekari moja kutokana na eneo shamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya leo, Naomba anayejua au aliyenavyo vitabu vya kilimo cha. -kitunguu -nyanya chungu -Pili pili Anielekeze vinakopatikana au ani PM tuongee Biashara kama anavyo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kutokana nauzoefu niliopataka katika biashara ya kupanda miti. Ni nzuri zaid watu wakajiunda kwenye kundi then wakanunua Shamba nakupanda. Nirahic kwenye management nainaitaji mtaji mdogo...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari zenu? Nahitaji Asali halisi (original honey) ambayo haijawa haijachakachuliwa iwe ya nyuki wa kubwa hata wadogo itanifaa pia. Nahitaji kununua lita moja ila kuna uwezekano wa kuhitaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua heka moja inatoa gunia ngapi za shairi???? Na je bei ya shairi kwa sasa sokoni ni shilingi ngapi kwa gunia??? Pia bei ya kitunguu saumu sokoni ni shilingi ngapi kwa gunia...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wana JF! Nafikiri wengi tutakuwa tumeona katika maeneo mengi ya nchi hii watu wakusanya vyuma chakavu na plastiki kwa ajili ya kurecycle na kutengeneza vitu vilivyo bora zaidi...
2 Reactions
24 Replies
25K Views
nimelima mpunga huko katavi mpanda ekari kama 10 pia ninataraji kununua mpunga ili nihifadhi bei ikipanda nauza lkn juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja akaniambia kuwa kuna uwezekano...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Niko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika. Mbwembwe sitaki
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mwenye kuhitaji tufanye biashara ani PM!
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima. Wana JF nimepima zali la kulima ufuta ila nashukuru Mungu anasaidia unaendelea vizuri. Ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Incubator Yenye Uwezo Wa Kutotolesha Mayai 48 Inauzwa Mkoani Geita ... Bei Ni Sh. 350000/= Tu ... Kwa Yeyote Atakayehitaji Wasiliana Nasi Kupitia Simu Namba : 0766922108 au 0656721710
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Shalom wakuu. Naomba kuuliza juu ya mbegu za matikiti. Nimeelezwa kwa ufupi sana juu ya mbegu inayoitwa "Mwananchi". Nimeambiwa inakubali sana maeneo ya mto Ruvu. Naomba nipewe darasa juu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa, tupo Kinyerezi.
0 Reactions
21 Replies
7K Views
wasalaaam! Ndugu zangu nilikuwa naomba wenye uelewa na Hii biashara ya kufuga Mbwa haswa German shepherd na Doberman kwa ajili ya SECURITY inaweza kulipa......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuku wapo Bunju, wako 300 unayehitaji nicheki kwenye 0788684574
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom