Habari wanaJF, nimefungua website mpya ya maswali na majibu kuhusu kilimo na ufugaji.
Tembelea KilimoUfugaji .Karibuni wote tusaidiane kuelimishana kuhusu magonjwa ya mimea na wanyama
Heri kwenu wanabodi,
Niseme kuwa mimi ni mwalimu mtarajiwa ninayesuburi ajira hivi karibuni, kwa kuwa kuna hali ngumu ya maisha siku hizi hatuwezi kutegemea ajira tuu pekee, nikiwa pia kama...
Wakuu naomba mnifahamishe sehemu gani kwa hapa Dar ambayo nitaweza kufanya vipimo vya udongo wa shamba langu tayari kwa ajili ya kilimo.
Msaada wenu tafadhali.
kwa mwenye kujua, naomba aniwezeshe kujua wauzaji wa Jumla wa vichanganyio vya chakula cha kuku. Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, nataka kununua vichanganyio kama vile Mashudu, Mifupa, chokaa kwa...
Habari wanajukwaa ,mi ninatafuta mbengu aina mbalimbali za mazao kama Mbengu za
maboga
bamia
choroko
kunde zile nene
pilipili mbuzi
nyanya za kienyeji
mchicha aina ya supalishe nyeupe na...
Wakuu naombeni mawazo na ushauri wenu, mimi sio mtaalam wa kilimo nimekuwa nalima kienyeji kwa muda sasa, lakini sijapata faida ya kilimo kama ninavyosikia kwamba kilimo kinalipa kama wengi...
Unasimu? Unatumia simu? matumizi yako ya vocha yanazidi au kukaribia 10,000 kwa mwezi? Je umejiuliza ni kiasi gani umeichangia mitandao ya simu? imewahi kukulipa hata sent moja? jibu ni...
Habari wanajf, nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza chaki naombeni kujuzwa chochote mnachofahamu kuhusu biashara hii. Natanguliza shukurani zangu
Ndugu mwana JF.Habari hii ni njema sana. Katika hoteli ya Canivore Arusha tarehe 9 na 10 mwezi wa 4 kutakuwa na mafunzo mazito yatakayotolewa na ENKISUMA TRUST FUND.Mafunzo haya ni ya ujasiriamali...
Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
Habari za majukumu. Naamini kila mmoja anafanya vyema.
Ni kiasi kinafaa kwa kuanza kilimo cha mboga kuanzia mbegu hadi madawa hadi kuvuna.
Nahitaji kuanza kilimo cha mbogamboga. Bado sijapata...
Wana JF kama critical thinkers naomba msaada wenu
Ninataka kuchukua mkopo wa sh milion 25 benk ambao marejesho yake yatakua ni kupitia kukatwa katika mshahara kwa kipindi cha miaka mitatu.
Tatizo...
Wakuu,
Nina Shamba langu lenye ekari 40 maeneo ya mkuranga, Ninataka kusafisha jumla ya ekari 10 ili niweze kujenga mabanda ya mifugo na kupanda mazao machache. Ninaomba msaada mwenye kujua wapi...
Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.
Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.
Wadau ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea kulijenga Taifa.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu ni utaratibu upi unahitajika ili kuruhusiwa kuingiza mayai nchini toka nje ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.