Wadau naomba kufahamishwa usalama wa hiki kikundi cha kukopesha watanzania cha focus vicoba, Je kuna mtu yeyote amefanikiwa kukopeshwa na kuendana na masharti yao ?
Wadau hebu angalieni...
Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm. Pia tunatoa na hudumu ya kusafirisha...
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo.
Yoyote mwenye interest tafadhali...
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo.
Yoyote mwenye interest tafadhali...
Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa...
Kwa anaehitaji vitunguu ananichek, ni kama gunia 50 red onions nipo moshi vimekomaa vizuri shambani tayari kwa kuvunwa, Mawasiliano 0767525054 bei maelewano.
Updated.
KWA ANAYEHITAJI KIKOKOTOZI CHA HESABU ZA UFUGAJI WA KUKU BASI AWASILIANE NAMI
0752 693 692
Utapewa Bure
1. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha chakula kinachohitajika na kuku kulingana...
Habari wana jf.....?
Mm ni mfanyabiashara kutoka mwz nimekuja dar kutafuta masoko ya samaki wamaji baridi sato na sangara.
Kutokana na mm yakutokuwa na nanafasi yakufanya hiyo biashara kwa...
Mwanasaikolojia Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Zanzibar wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na...
Wakuu, heshima kwenu.
Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula.
Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata...
UNICEF is inviting technology start-ups developing solutions with the potential to improve the lives of the world’s most vulnerable children to apply for funding from its recently launched...
Habarini za humu wakuu
moja kwa moja niende kwenye mada.....
jamani sisi tupo watu tisa kwenye kundi letu kwa mwaka sasa tumekua lakini tumekua tukijaribu kufanya shughuli mbali mbali lakini...
Halo wakuu, kama heading inavyosema hapo, nina kuku wa kienyeji kama 150 hv, ambao ninawafuga nusu huria, yaan wako ndani ya fensi, so nawapa chakula ila pia wanajitafutia ndani ya huo uzio, kuna...
Salam Wanajamvi,
Hivi hii kamata kamata ya pikipiki ina tija gani kwa serikali?
Nina jamaa yangu huwa ni dreva bodaboda na huwa anaegesha pikipiki yake macho,na pia anafanya shughuli za...
Habari za leo wadau..
Kwanza poleni sana na misaada yenu mnayotoa katika kuelimisha na kutusaidia kwa namna moja au nyingine humu kwenye forum. Mimi nataka kuanza ufugaji wa bata maji aina ya...
3 Money Habits That Separate the Rich From the Poor
It all starts with the same amount of money—just a different philosophy.
January 30, 2016
Here is an exciting thought! Why not work full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.