Hii niliipata kwenye Whatsup na nimeona bora niwashirikishe na WanaJF pia.
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata...
Wakuu habari za majukumu ya kila siku.
Naombeni kufahamu mkoa wa dodoma katika sehemu hizi
1. kilimo.
Mazao gani yanalimwa mkoa huu. Ingekuwa vema utaje na wilaya linapolimwa zao hilo.
Wateja wa...
Habari wanajamvi,
Kuna dada mmoja yupo kijijini anadai kadunduliza wee kafanikiwa kupata kiasi cha laki tatu (300,000). Anataka kwenda Dar akatafute biashara afanye ila hadi sasa hajajua ni...
Habarini wana jamvi ,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kusaidiwa kimawazo.
Nilienda kwa ndugu yangu kumuomba anikopeshe fedha kwa ajili ya mtaji lakini kinyume na matarajio yangu, ndugu...
SIRI YA MAFANIKIO YA KUWA TAJIRI.
Hii ni siri ambayo nimekuwa nikiitumia katika maisha yangu binafsi na wengine wengi waliofanikiwa huitumia pia na imewasidia sana kufikia malengo makubwa...
Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
Msaada wana jamvi.
Nahitaji till numbers za tigo na voda lakin ziwe kwa majina yangu.
Ninahitajika kuwa na nin na nini pia inachukua muda gan kuzipata.
Mwenye mawazo tusaidiane...
Wana jamii habari zenu, nafikria kufungua stationery office
naomba wenye ufahamu wa gharama zake hasa photo machine, printer, compunter, nk aniambie natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani, na...
Kwa mwenye kumfahamu Bibi/Bwana Shamba aliyebobea katika kilimo cha maembe naomba anipatie contacts za huyo mtaalamu.
Shamba la Miembe lipo Dar es Salaam.
Shukrani.
Habari wadau?
Mie ni kijana nnaeanza ujasiliamali na nna fremu ya duka dogo sana ( kigoli) maeneo ya kkoo.
Sasa nimenda kufuatilia tin pale Lumumba leo na kabla ya makadirio naambiwa kodi mil 2...
How are you!?
Namaanisha kwamba mtu ni mwajiriwa serikalini au sekta binafsi lakini anapenda kujiongezea kipato kwa shughuli za ufundi baada ya kutoka kazini.
Naamini wazoefu mpo humu tafadhali...
Habari wanaJF,
Me nipo chuo mwaka wa 1 ila nimeanzisha mradi wa ufugaji Nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku, bata, mbuzi, kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa...
Wakuu,
Ninahitaji kuanza kufuga nguruwe pembezoni mwa Dar es Salaam hivyo kabla sijaanza nimeamua kuanza kuangalia bei za vyakula vya hiyo mifugo ili nipate picha ya gharama za uendeshaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.