Naomba kujuzwa mbinu za kufanikisha biashara ndogo ya upakaji rangi kwenye nyumba za kuishi, shule, na majengo mbalimbali, kwa mfano mahitaji gani niwe nayo ya kuanzia? Mafundi wangapi? Wa level...
Habari wana JF,
Natafuta tabibu wa mifugo hasa nguruwe. Nahitaji anishauri na anisaidie kutibu pia. Nguruwe wangu wapo kama saba maeneo ya mapinga njia ya bagamoyo. Mwenye number ya tabibu mzuri...
Bata mzinga wadogo wanapatikana kwa Sh.25,000-40,000 na wakubwa wanapatikana kwa Sh.90,000. Kwa atakayehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Karibuni sana
Wadau nahitaji kwenda kujaribu kilimo cha nyanya chungu,vitunguu,bamia,nyanya kule rufiji(daraja la mkapa).
Naombeni ambaye ameshajaribu kulima huko atoe uzoefu ya mazao ya bustani yanayokubali...
Ndani ya posti hii nimejifunza mambo mengi ya muhimu ambayo yatanisaidia sana katika kuifikia ndoto yangu ya kuwa mjasiriamalimkubwa.
Inaelezea tabia ambazo wengi wetu tunazo, na hizo tabia ndizo...
Tunauza waleti za culture za kina dada kwa jumla na rejareja.. jumla shilingi 10,000 kuanzia pic10, na rejareja elfu 15,000 pia waweza like/kutembelea page yetu ya Free slave curio shop.. au...
Hello habari za jioni ya leo wana ndugu,
Mimi ni kijana wa kitanzania...nimebahatika kupata shilling laki nne na nusu...tumsifu yesu kristo....ninapenda niweze kuzungusha biashara yenye...
Nimefanikiwa kufikisha kias cha mil 6 nahtaj kufanya biashara na kuwekeza .... I've some ideas ila naamn bila mawazo na ushauri wa watu wengne naweza ncifike mbali ..nahtaj kujifunza kujifunza...
Nchi yetu ina fursa nyingi za kuwekeza,nyingine ni rahisi na nyingine ngumu kidogo kwa sababu ya kutojua. Kuna biashara hii ya beach plots, kwa sasa inakwenda kimya kimya sana,lakini ni biashara...
General Agro and Livestock enterprise tupo Mbeya, eneo la mbalizi kata ya nsalala. Tunatotolesha vifaranga, bei ya kutotolesha ni Tsh 450/ yai moja. Tunaanza kupokea kuanzia trey moja na...
Hello JF,
Ninatafuta Farm Manager kwa ajili ya usimamizi wa mradi wa shamba ulioko Tabora Kipalapala Matankini.
SIFA: Awe na Elimu ya Form Four na utaalamu ngazi ya cheti katika fani ya Kilimo...
Habari,
Nashukuru nimefika mahala sasa naona matunda ya shamba langu la mifugo...
Nimefanikiwa kufuga kuku,mbuzi,ngo'mbe,kondoo na nguruwe na bata wachache.
Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu...
Habari wanaJF, naomben maon yenu kuhusiana na website hii
http://masoko.byethost5.com/index.php
Kiongoze nn au kipunguze nn .
Asanteen, busara itumike kwenye kutoa ushauri tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.