Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Yaani tangu nimekuja huku umeme ni shida. Jana umekatika saa kumi na mbili alfajiri n umerudi saa saba kasoro usiku na sasa ninavyoandika umekatika saa kumi na mbili asubuhi hii. Nilitegemea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg, Tunatarajia kuwa na event ya kitaifa mwezi wa pili 2016. Tunaomba mtu mwenye uwezo wa kutengeneza wimbo maalum kwa event hiyo. Nitafute 0752 698 691
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, mimi naishi dar nataka kufanya biashara ya kuuza simu kariakoo naomba mwenye uzoefu anijuze faida na hasara ya biashara hii na nnaweza anza na mtaji wa shingapi!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa biashara hii, naomba ushauri wenu wa wapi ni rahisi kununua bidhaa tajwa kwa jumla kati ya mbeya na Dar kwa mimi niliyeko songea hasa kwa kuzingatia upatikanaji wa bidhaa,bei nk. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
For anyone who want to be V-pesa agency and make more money every single day, Please call now on 0718371221 / 0764705712 Paul Alex au 0684666945 Edwin chapa or email paulchapa0744@yahoo.com for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wote wanaotaka kujipatia line za Helotel pesa (V-pesa) na kujiongezea kipato zaidi, tafadhali piga simu namba 0718371221 / 0764705712 Paul Alex. au 0684666945 Edwin chapa) au email...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau!Poleni kwa mihangaiko ya siku nzima. Naomba niende mojakwamoja kwenye mada. Nina shamba ekari 3 ambazo niliamua mwaka huu nilime matikitimaji. Niliweka mifumo karibia yote (kwa...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Leo nimeota ndoto ambayo naiona siyo ya kawaida ndio maana nimeleta hapa mnisaidie. Ni hivi nina marafiki zangu wawili ambao wamefungua biashara lakini mmoja ndiye mwenye mtaji mkubwa na yule...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni wenye uzoefu na usimamizi wa salon ya kiume waniambie namna sahii bila kuwa na usumbufu. Je natakiwa kuwalipa kwa mwezi wafanyakazi au wao wanilipe kwa siku na wajilipe wenyewe??
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi wakuu Naomba kueleweshwa matikiti yanamwagiliwa vipi? Asanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dagaa ni safi, hawana mchanga na tayari kwa kupikwa au kupashwa tu na kuliwa. Wanapatikana katika ujazo wa kilo moja, nusu, na robo kilo! Pia kuna paketi za kawaida kwa bei ya jumla na rejareja...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni mfugaji nyuki,nimekuwa nikitumia njia ya kawaida ya kukamua masega ya nyuki ili kupata asali. Nahitaji mashine ili niweze kuwa bora zaidi kwenye utengenezaji wa asali basi kwa yule...
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Jipatie kitabu hiki, upate majibu muhimu ambayo kila mjasiriamali, alitakiwa kuyatafutia majibu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii nina ndugu yangu ana mtaji wa laki tatu ila anataka aifanyie biashara yoyote ile ili mradi tu izalishe vizuri yeye 24/7 yuko free hana kazi yoyote hapa mjini (Dar es salaam) .mwenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Pata mbuzi kwa bei nzuur,kuanzia 100000, mahali tanki bovu,napatikan kwa 0715 895656
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda; Mimi ni mfugaji ninahitaji yai la mbuni na tausi lenye kiini kwa ajili ya kutotolesha.kibali chake cha kumfuga ninauwezo wakukipata.Taarifa tafadhali. Wasiliana nami...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanajamii nimebahatika kupata kiasi hicho cha hela ila nashindwa kupata jibu nifanyie biashara gani hapa Dsm inayozalisha vizuri zaidi? Kwa mwenye idea naomba anijuze pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar wana JF. kwa mwenye uhitaji wa Sato fresh kutoka fish farming wanapatikana eneo la kidugalo ruvu. ukihitaji kuanzia kg 100 bei Ni 6500 /kg.. chini ya hapo bei Ni 7000. kuna zaid ya kg 2000...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hbr za usiku???,naomba km kuna mtu anayejua vema bei za Madawa yafuatayo ya Nyanya kwa DSM;Farmer zeb,Glider,Chloroplus,na dawa za sumu km vile Wilcron,Mocron,n.k.Karibuni wakuu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeshangazwa sana kuona eneo la Posta Mpya kutoka Hotel ya Hall day Inn mpaka New African Hotel limegeuka eneo la biashara za kimachinga.Wakati Wa utawala Wa Awamu ya kwanza maeneo hayo yalikuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom