Hi wakuu
Natafuta mtaalamu wa kilimo atakayekuwa na wepesi wa kufika shambani kwangu kigamboni kunitatulia tatizo katika tikiti zangu.
The sooner the better, asanteni
Jipatie external drive aina ya Western Digital (WD) kwa shilingi 170,000. Size ni 1.5 TB from europe. Zinawasili kuanzia tarehe 14 dec. Weka order yako free delivery in DSM. Wa mikoani...
Molii products inakuletea
Home made chill(pilipili) 5,000/=
Garlic paste(vitunguu swaumu) 6,000/=
peanut butter 5,000/=
zinapatikana kwa jumla na rejareja
products zetu ni nzuri ukitumia...
Habari zenu wanajamvi ?
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji bahati mbaya nafugia kijijini umeme haujafika nilianza na kuku 100 tetea wakiwa zaidi ya 80 sasa nashukuru Mungu ninavifaranga...
MOYO TRADERS inayojishughulisha na usambazaji wa samaki wabichi ndani na nje ya Dar es Salaam, inasimamiwa na vijana wachapakazi na wanaojari muda wa wateja wao, inapenda kuwataarifu wateja wake...
Je Una ozoefu katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi?
Kwa mfano: Tours, Taxi, Trucks, Daladala nk.
Je unaweza kufanya kazi kama afisa masoko (part time) katika sekta hiyo au kuwa mshauri...
JENGA UCHUMI WAKO KUPITIA SIMU YAKO
Jiunge na RIFARO AFRICA (RI unitel)uwe na kipato endelevu ktk uchumi wako, huduma hii ni kwa wateja wa Tigo, voda, airtel na zantel bila kuathiri shughuli...
'Biashara ni Matangazo'
Tupo katika wakati ambapo bidhaa na huduma nyingi sana zinafikishwa sokoni kwa njiani ya mtandao. Wamiliki wa tovuti za matangazo wanatengeza hela ndefu kwa njia hiyo na...
Wanajf wenzangu naomba ushauri wenu muhimu ili wasijesema nimeuingia mji kwa pupa. Binafsi nimepata mkopo wa Tsh milioni 10 toka kwa mfadhili wangu. Utafiti wa haraka haraka nilioufanya nabaini...
Habari wa ndg.naomba msaada kwa anaejua biashara hii faida na changamoto zake maana kuna eneo nimeona kuna butcher moja tu hivyo likanijia wazo hilo.Najua jf ni sehemu ambayo unaweza kufanyia...
mananasi yanauzwa makubwa yanapendeza yanaanzia shilingi 2000 na kuendelea na pia unaweza kuchukua hata kwa jumla
namba ya simu; 0658377013
0712660380...
Kwa mwenye taarifa jamani ani pm, natafuta saana hela Mimi ILA siipati na hata ikipatikana Ni hela mbuzi Tu, sasa basi kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wake kwa wingi naomba ani pm.
Habari wana Jamvi,
Najua kuna post zilizopita kuhusu soka la vitunguu maji, lakini baada ya kupitia nimeona the latest ni 2014. Ninaomba kujua kama mtu yeyote anafahamu soko bora la vitunguu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.