Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
habari za majukumu wanajukwaaa. kama tittle inavyojieleza naomba ushauri juu ya mashine nzuri ya kutengenezea popcorn na bei zake,pia sehem nnayoweza kuzipata mashine za uhakika,na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba kuuliza nachanga vipi dawa ya kuua wadudu ya karate tafadhali.. Maelezo yananichanganya kidogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chukua hatua, jipatie DvD hii kwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi ishakuwa kadhia,mwaka ushapita pasi kuwa na ajira japo Degree ninayo,tena ya Uchumi. Nimedhamiria kujiajiri hata kwa kuficha vyeti,Ombi langu, je biashara ipi ya halali na mtaji kiasi gani...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Heshima yenu wakubwa. Wakubwa nina mil 10 ya kwenda kununua nguo china na kuja kuuza hapa mjini. Yupo rafiki yangu ambaye nyumba zetu zimepakana ameahidi kwenda na mimi na kunisadia huko China na...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
Habarini wanaJF, Samahani naomba kufahamu kwamba ni zao gani ambalo Lina mzunguko mkubwa sokoni kwa hapa Tanzania. Ninataka kuanzisha kilimo mda sio mrefu, Ila sasa sijajua kwa kipindi hiki in zao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari waungwana. Mtu yoyote ambaye anachoroko au anamjua mtu anae uza choroko nahitaji kama gunia 500 kwenda mbele. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Inafaa kwa lishe ya mtoto, kulia mkate, kiungo cha mboga nk.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari jf napenda kujua soko la dhahabu dar kwa watu wanao rangua gram 1 sh. Ngapi? Je wanunuzi wapo wa uhakika
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mwenye ndege aina ya Kware wenye umri kuanzia wiki tano hadi sita anitafute kutoka mikoa ya Dodoma, Mwanza, Geita, Simiyu..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau mwaka huu baada ya kusoma michango ya baadhi ya wadau niliamua kujiingiiza kwenye hiki kilimo hapa nakaribia kuvuna naomba ambae anaweza kujua soko zuri la vitunguu anijulishe nimelima mbeya...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
ORiflame ni kampuni ya Sweden ambayo inasambaza cosmetics, perfume za kike na kiume .ni networking business ambayo kujiunga kwake ni sh elf9 tu na kuchukua mzigo kwa laki moja tu. Unachotakiwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kwenu wadau wenye ufahamu na hili, bila shaka wengi wetu kule tunakofanyia/njiani tunamopita kuelekea kwenye pilika zetu za kila siku tumekuwa tukikutana na watu pembezoni mwa barabara wakiwa na...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Justice Farm Products inawatangazia kuwauzia Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji kama wanavyoonekana katika picha hizo. Bei za bidhaa zetu ni kama ifuatavyo:- Kuku Kienyeji Wakubwa -...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenye kujua hiii, naomba ani PM. Karibuni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I have three project. One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa 2 nilikuwa natafuta best business ya kuanza nayo na yenye mtaji mdogo, roughly 400 thousands.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni yapi mahitaji ya msingi kuanzisha huduma hii?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari... Kama kuna watu wa EATV anapita humu au kuna wa2 ambao wameangalia kipindi cha mtambuka. Naomba msaada wa kuunganishwa na mjacriamali anaitwa FERUZ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom