Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000...
Wapendwa poleni na mihangaiko. Binafsi nahtaj kulima alizeti huku maeneo ya iringa. Na cjajua soko lake likoje kwa huku. Naomben msaada wa soko la alizeti.
Habari zenu wadau,
Karibuni wateja katika biadhara yangu ndogo nnayoifanya muweze kuniwezesha mjasiliamali mwenzenu. Natengeneza na kuuza sabuni za maji zenye ubora wa hali ya juu na harufu...
Nina mkopo NMB, NIFANYEJE ILI NIHAMISHIE MKOPO CRDB ILI NISIWE NA DENI NMB. Lengo ni kupanua ujasiliamali. taratibu zipi zifuatwe kwa mtumishi wa umma?
Habari wadau wa JF..
Mimi ni mkulima wa kati wa mpunga (sio mkubwa sana wala mdogo sana). Kwa mwaka naingiza wastani wa gunia 1000 za mpunga. Huwa natenga kiasi kama gunia 10 kwa chakula cha...
Maziwa fresh yanauzwa kwa kiasi chochote unachotaka kuanzia lita 2 mpaka lita 200 kwa kila siku
=>maziwa hayajachakachuliwa kwa kuwekwa maji au kitu chochote yapo kama yalivyokamuliwa...
Nahitaji kujua ni kilimo gani kitafaa kwa uangalizi wa mbali au maudhulio ya shamba ambayo ni angalau mara moja baada ya wiki tatu au mbili.
Kila nikijaribu kitu chchite naishia kuvutiwa na...
Habari za jioni,
Nilikuwa naomba kwa mtu anaefahamu lolote kuhusu upandaji wa hii miti na ukuzaji wake kibiashara.
Au kama kuna thread yoyote ambayo ilishawahi kujadiliwa kuhusu hii miti naomba...
WENYE FIKRA KAMA ZANGU TUTAFTANETUJIAJIRI WENYEWE UKIWA DAR ITAKUA POA SANA, VIZURI TUKUTANE WASAP #0713 123 160 MAANA SITUMII JF MARA KADHAA.. ni kwa walio serious tu. #umoja ni ushindi, karibu...
Mm ni kijana nipo dsm, nina mtaji wa 1 mill, naombeni ushauri juu ya bidhaa zinazo faa katika biashara ya kutembeza kwenye bar na lodge hapa dsm na mahali ambapo naweza kuzipata kwa bei ndogo ili...
Wakulima na wataalamu wa kilimo naomba tupeane maarifa ni shida yangu ni miche ya miembe, je ni mamna gani naweza kuandaa kokwa ya embe niliyokula na kupata mche??? Maana msimu umeshawadia...
Ninampango wa kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza matofali kwa bei nafuu kwa kutumia technology ya ya hydraform, kwa upande wa huku arusha sijajua nawapata wapi hawa wataalum wa kutengeneza...
Habari zenu wadau,
Mie niko Mtwara, natafuta ng'ombe wa kisasa wa maziwa,. Nahitaji ng'ombe wawili kwa kuanzia. Kwakua mie ni mjasiliamari ninaejifunza kamtaji kwangu ni 1,600,000 kwa hao ng'ombe...
Ushuru mkubwa Wa bandari na Kofi kubwa ni tatizo kubwa la kitaifa hasa kwa wafanya biashara wadogo wajuzi wanao tamani kuuza bidhaa zao nje ya nchi ama kuleta ndani ya nchi Kodi nitatizo kubwa...
Habari zenu wapendwa naamin muwazima wa afya ,, kitu kilichoninya niombe ushauri ni kwamba ninampango wa kuchukua mkopo wa 500,000 sasa hebu nishaurini wadau naweza kuufanyia nn na kuzalisha...
Kwa Hesabu Ya Harakaharaka Sisi Kijiji Chetu Tupo Watu Wazima Wenye Akili Timamu Wasiozidi 8elfu Tu Sasa Ukigawanya Milion 50/8 Utapata Jibu Kuwa Tayari Sisi Serekali Itakuwa Ishatupa Mtaji Hebu...
Habari? Naomba wenye uzoefu wa hizi mashine waniambie bei zake ni kiasi gani uimara wake na kudumu kwake...je zina ufanisi mzuri kwa kutotoa vifaranga vya kuku wa kienyeji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.