Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
habari wadau.. hivi hizi biashara vp? kwa maoni yangu ni kama inamnufaisha manufacture wa hizo bidhaa kumuuzia kinguvu bila sisi kujua.. maaana kuna watu wananishawishi kweli ila kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha shirika litakalohusika na masuala ya mazingira. Mm ni mhitimu wa chuo kikuu shahada ya awali kutoka chuo cha hapa hapa nyumbani Tanzania. Naomba ushauri juu ya masuala ya msingi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutakuwa na semina ya Kujiajiri Mwenyewe kupitia Mitandao WAPI: Ubungo Plaza DSM. Siku: Alhamisi 22.10.2015 Muda: Saa8 Kamili Mchana. Mawasiliano Piga Simu +255 752 693 692.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nina milioni 25, nataka ushauri wa biashara ya kufanya, regardss...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu salaam sana nina nyumba maeneo ya kibamba natarajie baada ya uchaguzi niiezeke .nahitaji mbao 4x2 na 2x2 hapa naomba mnifahamishe bei na tofauti ya trited na zile za kupaka dudu killer...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1246 Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula cha kuku, mzalishaji wa vifaranga, msindikaji wa nyama ya kuku, mzalishaji wa mbegu za mahindi, msindikaji wa mahindi, nk…...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kujiajili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Nataka kujua biashara gani Bongo unaweza kukuingizia mil 2 kwa mwezi? Naombeni ushauri wenu pls
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari, Kampuni yetu ya Central Park Bees Limited inakuja na Starter KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau msaada kwa yeyote mwenye kujua kampuni ninayoweza kupata vifaranga kuanzia mia tano hadi elfu mbili kwa dar es salaam.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,mimi nipo mkoani mwanza ninahitaji kuuza cement za dangote maana nimeona kwenye mitandao ya kijamii inabei nzuri sasa nitawezaje kuzipata so mwenye link yeyete ile naomba...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ninautalaamu wa kutengeneza mishumaa ila sijui maeneo ambayo wanauza material ya utengenezaji wa mishumaa kama kuna mtu anafahamu tafadhali nifahamishe nami
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu mjasiriamali na mfugaji leta mayai yako yenye ubora tukusaidie kutotoa ujipatie vifaranga vyako. tupo tabata segerea dar es salaan. bei zetu ni nafuu sana 0713219408
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kufuatia bandiko hilo hapo chini,incubator kama hizi zinapatikana wapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Great thinkers wa Jf naombeni expirience na ushauri juu ya ukumbi mwenye uwezo wa kuchukua watu 300 tu, na jinsi utakavyoingiza pesa km kitega uchumi.... TUSHAURIANE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TrueCafe is a distributed system. It consists of server and client software. Server software is a center of cyber cafe maintenance. It provides pricing, customer...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
wadau natamani kuanzisha car wash ila sijui vifaa vinavyotakiwa, gharama zake na inalipaje
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanaJf, naomba msaada wa sehemu ambayo naweza kuanzisha duka kubwa sana la hardware za UJENZI Dar es salaam, nitakuwa nauza kwa rejareja pamoja na kwa jumla na kwa Order pia. Natumai kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wana jf, hv kama m2 ana lak moja mkonon mngependa kumshaur afanye kp cha fasta fasta il baada ya muda hv aje awe na mtaj km wa 1million?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom