Natanguliza shukrani ya dhati sana kwa walioanzisha thread ya UFUGAJI KUKU ilianza mwaka 2009-2010 wakati huo milikua bado nanuka maziwa sikujua kama kuna siku moja nitatakiwa kuwa na maisha...
Habari zenu wakuu wangu!!!
Nimelima vitunguu na vipo tayari lakini soko lake, kuna mmoja alikuja akasema nimuuzie kwa 60000 gunia, na kiukweli nahic itanikata sana. Nimelima hekali moja huko...
Kama kichwa cha Habari hapo juu naomba kwa yeyoye anayejua namna bora yakuthibit panya wanaofukua mbegu na kuzila zikiwa bado chini ya arzi.
Wamefukua mbegu zangu zote za tikiti.
Natanguliza shukran
semina ya biashara itafanyika mby mbalizi.
ukumbi wa royal tughimbe saa tisa alasiri jumapili hii tarehe 11/10/2015 karibu mafunzo ni bure. wasiliana nami 0753491777 au 0715167030 mwenyeji wako
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 14
Most traders will quit and stay away from trading after blowing up a few trading accounts. But those with grit will constantly reflect upon...
ELIMU BIASHARA
NIMEWAONA...
Kuna utofauti wa kusoma na ukaelewa, na kusomewa na kuelezewa. Walisema "Behind every succesful man there is a woman", wengine wakabisha wakasema aliyetunga alikua...
Ndugu wadau, kwakutumia aina yeyote ya mbao, nafanya finishing ya ndani kutumia mbao zilizotengenezwa kwa mashine maalum ya kazi hiyo!
Bei hutokana na aina ya mbao mteja atakayo itaka itumike...
Wanajamvi Mimi napenda sana ufugaji hasa Huu wa kuku wa kienyeji..... Lakini huku mtaani kwetu kumekua na watu waliowahi kufuga na wakakaribia kufanikiwa kabisa kwakua na kuku zaidi ya 300...
Wanajamvi Mimi nasoma sana topic zenu za ufugaji kuku hasa wa kienyeji name navutiwa sana kuwafuga ila nahitaji kujua he nikitumia chanjo inaweza kweli kulinda kuku Wang kwa ugonjwa kama...
ELIMU BIASHARA
NI CHANGAMOTO TU, USIHISI TULIANDALIWA KUFELI?
Inawezekana katika maisha yetu tuliyokulia tangu tukiwa watoto tumekuzwa katika Maisha ya kuogopa au kuogopeshwa. Kila ukifanya kitu...
Kama kichwa hapo juu, ukipewa 500,000/= utaifanyia nini katika mazingira uliyopo ili baada ya siku au mda flani iwe msaada kwako? (neno binti litafsirike kuanzia miaka 18-25)
Japokuwa watu wengi wamekuwa wakiogopa changamoto za biashara ya Daladala lakini mimi sitaacha kamwe biashara hii labda ziungue zote na moto halafu niwe sina pesa ya kununulia nyingine.
Karibuni...
Pole na majukumu wana jamvı.Naomba mnisaıdie uelewa kwa kuniwezesha kufahamu juu ya upatikanaji wa soko la mkaa pamoja na asali jijini DSM.Pia changamoto ziambatanazo na bıashara...
Nimelima heka tano za matikiti mkoani pwani karibu na ruvu.
Yapo vizuri yanakuwa tayari ndani ya wiki moja ijayo..
Aina ya mbegu ni sugar king f1 hybrid.. wahi sasa tuwasiliane kwa oda..
Kazi kubwa sana unayohitaji kufanya baada ya kumpata mteja ni kuhakikisha anaendelea kuwa wako, yaani anaendelea kufanya biashara na wewe.
Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitumia nguvu kubwa...
Kwa wale wanaohitaji majogoo Chotara kwa ajiri ya parental stock(kuku wazazi),wapo jogoo 70 jamii ya black austrop,Rangi ya kanga,na mchanganyiko mwingine,jogoo hawa wana kama kilo 3,wanapatikana...
Habari!!!
Kuna mtu aliniagiza kutafuta soko la mbao nje, nimepata wanunuzi ila wame demand waone scanned copy ya vibali vyake vya biashara kwanza. Mpaka sasa vibali kutumwa imekuwa issue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.