Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habarini za loe wana jamiiforum, Ninaomba mwenye uelewa wa biashara ya hisa na jinsi inovyo fanywa na faida inapatikana vipi anipe mwongozo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Kwenu Wakuu. Ama baada ya salaam. Ningependa kutanguliza shukran zangu kwenu nyote kwa ujumla. Kama mada inavyojieleza, naomba kujuzwa bei elekezi ya kuku wa kisasa wa nyama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
FURSA YA KIFEDHA KWA WAJASIRIAMALI WA KUKU NA MAHINDI Je wewe ni mjasiriamali? Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula una kuku, mzalisha ji wa vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FURSA YA KIFEDHA KWA WAJASIRIAMALI WA KUKU NA MAHINDI Je wewe ni mjasiriamali? Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula una kuku, mzalisha ji wa vifaranga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kijana mwenye miaka 24 niña elimu ya forma 4 natafuta kazi yeyote gente maslahi yakuniwezesha mimi kuendesha maisha iwe ya nyumbani hotelini su viwandani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitajii mkopo wa kuanzisha biashara, sina assets kama kiwanja, nyumba hata gari.. Lakini nimekua nikitafutaa mkopo ili nianze biasharaa.. Na naminii kua nitaulipa tu kwa muda muafaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Agri Bisiness tunajishughulisha na vitu vifuatavyo -tunatoa ushauri kuhusu kilimo -tunaandaa bustani za kisasa (green houses ) -tunajenga mabanda ya kuku wa kisasa -tunauza na kusupply mbegu bora...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wa jukwaa!! Husika na kichwa cha habari pale juu, kuna wazo ambalo nimerifkiria nadhan watu wengi watafaidika kuhusiana na elimu ya mambo ya ufugaji na kilimo ambao watu wengi tunataman...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kushinda na kushindwa wanajamvi, Waungwana mi kijana nifanyakazi kwenye likampuni mmoja kubwa sana hapa but kiukweli sioni maisha yangu yakibadilika japo nina miaka 9 kazini yes nina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla. Swali langu ni hili; Je, belo moja bei gani? Na...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za siku wanajamiiforum, Napenda kuwataarifu kuwa madaktari na wauguzi au manesi pia wale maphamasia na wale wanaopenda kuwa wajasiliamali kwa kufungua pharmacy shops au maduka ya dawa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mercury nyeupe inapatika , kilo moja ni Tsh 500,000. Nipo Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi tuonane inbox.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mtu nitakayefanya nae biashara ya computer accessories, aniuzie kwa bei ya jumla
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo ukerewe visiwani napenda kuwa wakara wa usambazaji wa sigara hapakisiwani kwani mtandao huo haupo hapa USHAURI wakuu nipate wapi wahusika wa hii biashara MSAADA
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Agri Business tunajishughulisha na maswala yote ya kilimo. Pia tunatoa ushauri kuhusu kilimo, tunaanda bustani za kisasa (green house), tunauza madawa ya kilimo, tunatengeneza mabanda ya kuku wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vitunguu vinapatikana Mvumi kilosa karibu kabisa na barabara na vipo ghalani. Mzigo unakadiriwa kuwa gunia 80-100. Mwenye uhitaji ani inbox.
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Shikamooni mana wengi humu ni wakubwa kwangu Naombeni kwa yoyote anaeweza kunipa mchango wa kimawazo kuhusu kuanzisha computer training centre wazo lolote lile litakuwa la maana kwangu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Bata mzinga dume wanapatikana kwa Sh. 70,000 kwa ukubwa wa kati na Sh.150,000 kwa mkubwa kabisa. Kwa atakayehitaji anitafute kupitia namba hii: 0753249862. Mimi napatikana Dar. Karibuni sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom