Hi Everyone,
My name is Mohammed, and I'm a 22 year old who is currently working a full time job as a IT Sales Support Engineer.
I have a satisfactory job and good salary. And I always believed...
Wakuu heshima kwenu, ninauza mashine 2 za kuoshea magari zilizofanya kazi miezi 8, zinatumia petrol, bei ni laki 8 kwa zote mbili. Nipo Mtwara mjini ni pm tufanye biashara.
Leo nataka kuongelea tatizo hili la nguvu za kiume mana saiv limekua tatzo kubwa sana na sio tatzo la kuchekana mana kwamfumo wetu wa vyakula tuliokua nao ni lazma weng wetu linaweza likakukuta...
Habari za jioni wadau natumaini mpo fine jaman naitaji kin'gamuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 255756417990
Habari msomaji wa uzi huu, naamini u bukheri wa afya njema.
Vijana wengi tumekuwa tukiwa na wazo zuri la biashara lakini swala kubwa au kikwazo ni mtaji, mwisho wake tunapoteza mwelekeo na...
Najua tumekuwa na mijadala mingi ya Uchaguzi sasa nafikiri kubadili muelekeo kidogo...
Naomba mtu mwenye uzoefu wa uendeshaji wa magari madogo kama kiriku na Hiace (daladala) anipatie uzoefu wake...
Goodevening ladies & gentlemen!
Disclaimer: I admit that this thread is of ultimate importance and genuine to my best knowledge.
Despite long-term efforts of starting an advertising agency...
Habari za asubuhi wadau, jaman nina shida na umoja wa wafugaji dar UFUKUDA, nataka kwenda office kwao ,sijuhi wako maeneo gani, naona huu umoja kama umekufa nataka nikawaamshe, wafugaji tunakufa...
Poleni na majukumu ya ujenzi wa nchi ndugu wana-jf.
Naomba msaada wa utaalamu wa kilimo cha milonge. Nasikia ni tiba ya mambo mengi sna. Natanguliza shukrani
Waungwana wakubwa KWA wadogo wake KWA waume itifaki imezingatiwa, naja kwenu ndugu zangu ninaomba msaada wenu wa mawazo na ushauri,ninahitaji kujua/kufahamu juu ya kilimo cha mlonge na soko LA...
Habari za muda huu wana Jf, Mimi nimfugaji wa nyuki nipo Tabora, Nina lita 600 za asali mbichi, naomba anaefaham soko lilipo anijuze maana mwakaa huu naona neema imenitembelea kwenye mizinga...
Bei ya glass moja ni kati ya 2500 na 5000 inategemea na uwingi wa glas au vikombe unavyo hitaji na uwingi wa maneno unayo yahitaji... piga 0714 045 080....
Naombeni ushauri wa biashara ya kufanya ambayo haiitaji usimamizi wa karibu kwakua mi ni mfanyakazi ambaye nifanya kazi full time kasoro weekend tu. Naomba ushauri wa kufanya biashara dsm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.