Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kwa yeyote anayejua bei ya sisal/mkonge USSG per tone au per kg. Naomba kujuzwa please. Thanks
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada nataka kujua faida na hasara za biashara hii .. nataka niwekeze kwenye kiwanda cha kutengeneza haya mafuta ya alizeti .. naona walaji ni wengi sana sasa ..Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ya weekend wakuu. Naomba kujuzwa umwagiliaji wa matikiti maji ni kwa njia gani? Nikiwa sina drip. Tafadhali, asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, naomba mwenye uelewa au anaefanya hii biashara ya tigo pesa na m-pesa anipe mwongozo kidogo. Kuhusiana na Commission inakuwa kiasi gani, mtaji kwa kuanzia tigo pesa ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanapatikana kwa jumla na rejareja. Wenye matumizi ya nyumbani , kuuza gengeni, sokoni na supermarket. Bei ni nafuu na ziko kwenye attractive packages. Karibuni wakuu
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanajf nimefungua stationary ambayo ninauza vitab mbalimbali hasa vya high school km s chand, nelcon,BS etc ila nahitaj photocopy machine, sjajua ni aina gani ndo nzur na ni kwa bei gani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wana Jf anayefahamu kama naweza kupata chanjo ya ugonjwa wa marek unaosumbua vifaranga vyangu,hili lilinitokea mwaka jana nilipoatamisha kuku zangu 12 wakanipatia vifaranga 112 baada ya wiki 2...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Habari wana Jamii Forum, hongereni kwa hatua ya uchaguzi. Naomba msaada jwa yeyote mwenye ujuzi wa kilimo cha miti. Mimi ni graduate wa jinsia na maendeleo bado cjapata ajira had sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima mbele wanajamvi. Nina mtaji wa shilingi milioni 10 za kitanzania, nipo Dodoma mjini nafikiria kufungua duka la kuuza marumaru (tiles) na gypsum board. Naombeni ushauri wenu kwa mlio na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mambo vipi hapo!? Ok mimi nina mpango baada ya uchaguzi nielekee Dar kuhamishia kazi yangu ya ufundi mabomba ya maji. Sasa mimi napenda sana kuwa busy busy kwa hiyo baada ya kufikiria sana...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa Miaka ya Hivi Karibuni Kumekuwa na Ongezeko Kubwa la Blogs na Website Katika nchi zinazoendelea, Tanzania Ikiwa miongoni mwao. Kundi kubwa la vijana waliosomea masuala ya computer na programs...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau ni muda sasa umepita tangu nianze kuomba ushauri juu ya wazo langu la biashara ya viatu na mikoba ya kike hapa songea bila kupata michango ya wadau. Hadi leo hii maendeleo juu ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
RIFARO AFRICA ni kampuni mama toka tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO Kampuni ilipata wazo toka 2011...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, Nipo Mbeya mjini, Nahitaji nisaidiwe wazo la namna ya kuitumia Noah yangu kibiashara. Bado nzima sana. Mawazo yangu niwe naenda route ya Mby-dar-mby safari za jioni...tatizo upatikanaji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu, Kuna kitu naomba kujuzwa kuhusu biashara ya tigopesa na mpesa, mtu anaefanya biashara hii huwa anapata faida gani and on the other side kuna hasara gani? in a simple phrase...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 15 “If you like reading biographies on successful people like I do, you’ll notice that they all share one driving force. That force drove each...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Kwema? Naomba wazo lolote lile si bure kama kukosa kabisa wazo. Nina 500,000/- cash, nawaza sana hivi kwa pesa hii kweli niki jibiashara gani naweza fanya kika nitoa kimaisha najua itachukua...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Soko la mbuzi wa rejareja.. WanaJF, MimI huwa nafuata Mbuzi Handeni. Nilianza na wachache sana, sasa Mungu kanijalia naweza nikaleta hadi 10 au 8. Sasa natafuta wateja wa rejareja!
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Cjui naanzia wapi tena kurudi kwenye reli baada ya mtaji kukata! Ushauri tafadhali maana naona hapa nimeishiwa mawazo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
An Israeli Local Breed of rooster This kind of chicken is way bigger than the local Tanzania chicken weighing and fetching more profits as well
2 Reactions
65 Replies
17K Views
Back
Top Bottom