Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari ya weekend ndugu zangu. Naomba kujua bei ya mashine za kutengeneza juice ya miwa. Shukrani.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Natanguliza shukurani zangu kwa wajasiria mali na wadau wote wa sekta ya ufugaji. Niseme tu kwamba mmekua na mchango mkubwa katika kusaidia kuinua uchumi wa Watanzania. Leo hii naomba ushauri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hi wanajamvi, kuna kipindi nilinunua eneo langu kubwa baadae nikagundua na kuambiwa kuwa ni eneo linalotuamisha maji, nafikiria sana kuweka kilimo cha matunda na miti, sasa kila nikitaka kupanda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
mwenye uelewa wa soko la ndiz mzuzu dodoma anichek 0685733122
0 Reactions
0 Replies
3K Views
We prepare books of accounts, financial statements, VAT returns and business plans. Call 0674 579 575 or 0782 237 212
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Si tatizo geni hasa Kwa vijana wengi ambao wana aanza kutafuta maisha nikiwemo na mimi mwenyewe kua na tabia ya "matumizi mabaya ya fedha " binafsi napenda sana luxury stuffs sio lazima kiwe na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wadau naombeni msaada kwa anaejua utaratibu Wa kufungua duka la pembejeo za kilimu...Ni vigezo gani hutumika Ila mtu awe na sifa ya kufungua duka????
0 Reactions
0 Replies
5K Views
wadau Mimi naishi Dar es salaam nina ndoto za kua mfanyabiashara. swali nauliza zipi njia simple za kuchukua mkopo hasa pale unapokua huna assets?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kama mnavyojua maisha kwa sasa yamekua magumu na inahitaji kutumia nguvu na akili ya ziada hivyo katika kujibana kwangu nimedunduliza sh.600000)laki sita. Hivyo nimekuja kwenu mnipe wazo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu wajasiliamali wenzangu naomba kuulizia hali ya soko ipoje kwa wale wanaofuga kuku wa nyama yaani Broilers kwa mikoa ya Dar es salaam na Morogoro. je ni wakati gani yaani kuanzia January...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna soko nimeliona la mikate na maandazi kijiji fulani,naona panafaa kufungus kabekary kadogo,<kijiji kins watu kama elfu tano ,ukijumlisha na vijiji vys pembrni wanafikia elfu 10+ Naomba...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Niko na tray 10 za mayai ya kuku wa kisasa nimetapokea leo, hivyo mwenye kujua wapi naweza pata huduma ya kuzitotolesha nitashukuru sana Niko Mwanza mjini
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Ninaombwa kupewa shule kuhusu biashara ya bajaji. Mkataba gani unaingia na dereva. Inahitaji repair nara ngapi kwa mwezi na kwa gharama gain?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya mwisho WA wiki wana jukwaa, poleni Sana na majukumu ya kila siku. Sasa kilichonileta hapa Ni kwamba Mimi Nina nyumba nahitaji mkopo kwenye taasisi za fedha, sasa kila nikienda...
0 Reactions
5 Replies
997 Views
Habari zenu! Naomba msaada natafuta Soko la uhakika la Machungwa na Parachichi kwa mkoa wa Mwanza! Masaada!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau nimeskia kuna taasisi inaitwa vicoba saccos saving inajihusisha na kuwasaidia wajasiliamali kuwapa mikopo ya riba nafuu na dhamana yake ni.ndogo pia(ela) ila naskia wanatoa kupitia online...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaejua gharama za kujenga greenhouse anisaidie, japo najua zipo za size mbalimbali ila mchango wako no muhimu kwangu. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafutua mteja ambaye yupoo serious kwa kununua kuku wa kienyejii jumla nauza 12000 reja reja kuanzia 15000 my namba 0653441636 au 0763592111 karibuni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dodoma,nahitaji kujua nitaweza kufanya biashara gani wakati nipo chuo. hata kama itahitaji usimamizi wa muda kidogo nikiwa off campus...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom